Edward Chapa
Member
- Jun 30, 2012
- 72
- 12
Oooh plz muwahishe hospitali haraka usimpe dawa yyt bila kushauriwa na docta,huenda pia hali au hanyonyi maziwa ya kumtosha
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu.
Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30
( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na
anatumia maziwa ya mama.
Tatizo nini??
Nimpatie dawa gani??
Naombeni ushauri ,sababu napatwa na presha.
Leo public holiday..nenda agakhan kuna doctor wa watoto anaitwa kuboja atakusaidia ni mzuri sana...ugua pole na pia mwambie mama apate msosi laini kama ndizi,papai.maji ya kutosha...
Nenda kwa saleh madawa kuna kitu kinaitwa kijiko atakufahamisha.
Jaribu mtoto wangu kapoa