Mtoto wa mwezi mmoja ( siku 30) kutopata choo

Mtoto wa mwezi mmoja ( siku 30) kutopata choo

Edward Chapa

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
72
Reaction score
12
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu.
Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30
( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na
anatumia maziwa ya mama.
Tatizo nini??
Nimpatie dawa gani??
Naombeni ushauri ,sababu napatwa na presha.
 
Oooh plz muwahishe hospitali haraka usimpe dawa yyt bila kushauriwa na docta,huenda pia hali au hanyonyi maziwa ya kumtosha
 
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu.
Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30
( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na
anatumia maziwa ya mama.
Tatizo nini??
Nimpatie dawa gani??
Naombeni ushauri ,sababu napatwa na presha.

Leo public holiday..nenda agakhan kuna doctor wa watoto anaitwa kuboja atakusaidia ni mzuri sana...ugua pole na pia mwambie mama apate msosi laini kama ndizi,papai.maji ya kutosha...
 
Ingawa mimi siyo daktari lakini yalinikuta masaibu kama hayo.
Tulipoenda hospital ilibainika kuwa utumbo ulijinyonga kufanya alichokuwa anakula mtoto kushindwa kukamilisha mzunguko wa kawaida.
Tafadhali nenda hospital upesi ukaonane na daktari wa watoto.
 
Nenda kwa saleh madawa kuna kitu kinaitwa kijiko atakufahamisha.
Jaribu mtoto wangu kapoa
 
Yupo mtaa wa zanaki karibu na msikiti wa washia kuuliza utaambiwa hapo au uende kariakoo mtaa mafia karibu na big bon wanapouza dawa za kiyenyeji
 
Back
Top Bottom