Bila kujali aina ya siasa za Odinga, nimevutiwa sana na huyu binti yake mdogo! Anaelekea kuwa focused and composed! She is really potential politician in the making!
+254 72675068----Naomba namba yake ya simu
font fedHata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?
Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...
Yuko wapi, yuko wapi? 😡😡Huyu si alisema Olduvai iko Kenya?
Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?
Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...
Sio kweli! Kuna watoto wengi wa viongozi wa kiafrika ambao ukiwatoa kwenye ile protection inayotokana na nafasi za wazazi, hawawezi kusimama kwa miguu yao! Huyu ukimsikiliza kwa makini utaona kabisa sio majibu ya kukariri, ana vision and conviction!
Wanakuwa tu hawana interest na Siasa, lkn hata wewe kama una interest na Siasa na ukaandaliwa tangu mtoto utaweza tu, unapewa mtaalamu wa kila kitu, unafundishwa jinsi ya kuongea na kuvutia watu, isitoshe kwanza wengine hata unapewa maswali kabla ya interview na wanakaa nayo na Wataalamu, ...
Bila kujali aina ya siasa za Odinga, nimevutiwa sana na huyu binti yake mdogo! Anaelekea kuwa focused and composed! She is really potential politician in the making!
Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?
Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...
Ila hakufikiiYuko vizuri Winnie
Nini wewe wacha mambo yasiyo na msingi. Kwani Bondo iko central na waJaluo ni kizazi cha nyumba ya Mumbi?Huyo binti ndiye atakayekuja kuwa Rais Kenya kwa sababu yeye ni mtoto kutoka central Kenya![emoji16][emoji16]mtoto ni mama bwana, kizazi cha Mumbi.