Mtoto wa nyoka ni nyoka - Winnie Odinga

Mtoto wa nyoka ni nyoka - Winnie Odinga

kindafu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,346
Reaction score
1,678

Bila kujali aina ya siasa za Odinga, nimevutiwa sana na huyu binti yake mdogo! Anaelekea kuwa focused and composed! She is really potential politician in the making!
 
Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?

Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...
 
font fed
 
Sio kweli! Kuna watoto wengi wa viongozi wa kiafrika ambao ukiwatoa kwenye ile protection inayotokana na nafasi za wazazi, hawawezi kusimama kwa miguu yao! Huyu ukimsikiliza kwa makini utaona kabisa sio majibu ya kukariri, ana vision and conviction!
 
Wanakuwa tu hawana interest na Siasa, lkn hata wewe kama una interest na Siasa na ukaandaliwa tangu mtoto utaweza tu, unapewa mtaalamu wa kila kitu, unafundishwa jinsi ya kuongea na kuvutia watu, isitoshe kwanza wengine hata unapewa maswali kabla ya interview na wanakaa nayo na Wataalamu, ...
 
Inaelekea hukuchukua muda wa kumsikiliza vizuri! Haongelei siasa, bali mambo mbali mbali ya kijamii na hata ya kumhusu yeye mwenyewe! Kwenye siasa kazungumzia tu kuwa hakubaliani na "seasoned politicians" ambao wanafanya siasa ili kujipatia tu kipato! Na hawa ni wengi sana - siasa ni mtaji wa kuwawezesha kujikimu maisha
 
Bila kujali aina ya siasa za Odinga, nimevutiwa sana na huyu binti yake mdogo! Anaelekea kuwa focused and composed! She is really potential politician in the making!

Huyo binti ndiye atakayekuja kuwa Rais Kenya kwa sababu yeye ni mtoto kutoka central Kenya![emoji16][emoji16]mtoto ni mama bwana, kizazi cha Mumbi.
 
Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?

Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...

mkuu unamaanisha sizonje hakuandaliwa??
 
Naona anataka kuachiwa kijiti cha mzee.....atakuwa waziri mkuu lakin...
 
Ajifunze Olduvai Gorge ipo wapi kabla ya kujiingiza kwenye siasa
 
Huyo binti ndiye atakayekuja kuwa Rais Kenya kwa sababu yeye ni mtoto kutoka central Kenya![emoji16][emoji16]mtoto ni mama bwana, kizazi cha Mumbi.
Nini wewe wacha mambo yasiyo na msingi. Kwani Bondo iko central na waJaluo ni kizazi cha nyumba ya Mumbi?
 
Back
Top Bottom