Mtoto wa nyoka ni nyoka - Winnie Odinga

 
Sio kweli! Kuna watoto wengi wa viongozi wa kiafrika ambao ukiwatoa kwenye ile protection inayotokana na nafasi za wazazi, hawawezi kusimama kwa miguu yao! Huyu ukimsikiliza kwa makini utaona kabisa sio majibu ya kukariri, ana vision and conviction!
Mfano hai ni William Malecella Lemutuz/Lembebezi mara Lemutindiz mzee wake alikuwa ni mmoja wa viongozi wa Africa wenye akili kubwa Mwl mwenyewe alikuwa akimuhofia kwelikweli. Sasa William na fursa zote alizokuwa nazo leo anabaki kuposti picha na wajukuu zake wa kike wakimbusu. Huyo binti wa odinga yuko njema
 
Lazima tukubali interview haikuwa ya ghafla hii iliandaliwa na Mjaluo kwa kupenda sifa kakesha akijikaririsha.
Hakuna jipya tena baada ya Rila katika familia ya Odinga maana future yao Fidel walishamtoa kafara basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…