Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?
Mbona William Malecela kashindwa na Mzee Malecella alikuwa mmojawapo wa waafrika wenye uwezo mkubwa sana na kamlea kwa mazingira mazuri kabisa. Huyo binti anastahili sifa.
Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...
Mfano hai ni William Malecella Lemutuz/Lembebezi mara Lemutindiz mzee wake alikuwa ni mmoja wa viongozi wa Africa wenye akili kubwa Mwl mwenyewe alikuwa akimuhofia kwelikweli. Sasa William na fursa zote alizokuwa nazo leo anabaki kuposti picha na wajukuu zake wa kike wakimbusu. Huyo binti wa odinga yuko njemaSio kweli! Kuna watoto wengi wa viongozi wa kiafrika ambao ukiwatoa kwenye ile protection inayotokana na nafasi za wazazi, hawawezi kusimama kwa miguu yao! Huyu ukimsikiliza kwa makini utaona kabisa sio majibu ya kukariri, ana vision and conviction!
Haa haa ...kivipi mkuuIla hakufikii