Mtoto wa Obote, Jimmy Akena ajiuzulu ubunge

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Jimmy Akena amejiuzulu ubunge baada ya CDF Jenerali Muhozi kupendekeza kwamba masuala yote yanayohusu haki za binadamu yataamuliwa kwa pasenti mia na Kamati Kuu ya Chama tawala, NRM, kabla ya kupelekwa Bungeni kwa majadiliano.

Akena ni mtoto wa Milton Obote. Amesema Dar es Salaam hapa, International School, ile shule ambayo ipo mkabala na shule ya Tambaza

Alikuwa anasoma pale yeye na ndugu yake mwingine Akaki.
 
Huyo Muhoozi aombe Mungu mzee wake aendelee kuishi tu. Siku mzee wake akikata moto ndio itakuwa mwisho wake.

Hao hao wanajeshi anaowaongoza watamla nyama mchana kweupe.
 
Huyo Muhoozi aombe Mungu mzee wake aendelee kuishi tu. Siku mzee wake akikata moto ndio itakuwa mwisho wake.

Hao hao wanajeshi anaowaongoza watamla nyama mchana kweupe.
Majitu mengi ya Afrika hayajuagi kwamba ipo kesho
 
Sema Uganda poleni sana bora mmgepewa General Defao kuliko General huyo, hivi hata kupanga vita anaweza kweli huyo?
 
Huyu generali antka kufnya unyama hlf anategemea chama kimuonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…