Mtoto wa rafiki yangu kamuuliza baba yake maana ya "take care!" kwani hajui maana yake

Mtoto wa rafiki yangu kamuuliza baba yake maana ya "take care!" kwani hajui maana yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.

Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia mwenzake "take care" hivyo amuuliza babaye nini maana yake!

Nimemuuliza rafiki yangu huyo mwanae anasoma shule gani akaibu yupo shule moja isiyo English medium maeneo ya Mtongani.

Mchana mwema
 
MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
mtoto huyo mfanye awe rafiki yako japo akizingua usimtume mama ake adili naye kisa rafikiyako

Anza kuingia naye mkataba mapema wakitaaluma
 
""Kwani take care maana yake ni hasa?"" Mwambie baba ake aje aniulize mie
 
MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
Huyo Yuko vizuri
 
itakua pepo toka 😂😂
Ahahahaha hapana bwana, mimi baba yake siko nyuma sanaa mkuu ndio maana hata huwa napiga nao stori za namna hiyo. Ila tu ambacho huwa nafanya ni ku balance na kuwaonyesha how science relates with devine world. I dnt want them to abandon faith
 
Back
Top Bottom