Mtoto wa rafiki yangu kamuuliza baba yake maana ya "take care!" kwani hajui maana yake

Mtoto wa rafiki yangu kamuuliza baba yake maana ya "take care!" kwani hajui maana yake

mbona umekasirika
Kitu gani kinakufanya uone nimekasirika wakati nimeandika facts tupu?

Kukasirika kuko wapi hapo? Hebu weka maneno yangu tuyachambue factually tuone kama ni kweli au si kweli, halafu tuchambue wewe umejuaje nimekasirika.

Inawezekana wewe ndiye mwenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo, mtu akishikikia facts tu, wewe unaona kakasirika.
 
Mnawaharibu akili hao watoto.

Kakuuliza swali la facts, unamjibu ujinga wa imani.

Huyo Mungu unayemsema huwezi kuthibitisha yupo.
Huo "ujinga" asipojifunza kwa wazazi atajifunza shuleni. Kama sio shule basi nyumba za ibada
 
Mkuu sio kila English Medium School ni bora kwa mwanao, nyingi ni biashara.

English Medium Schools zinazomjenga mtoto kilugha ni international schools tu.

Naweza kuthibitisha kabisa, pale arusha english medium bora kabisa za primary zinazofuata NECTA(Green acres, Imani, St. Patrick, Angelico)angalia kama watoto wanajua kiingereza.
Nenda international za arusha sasa kama braeburn, ISM, jaffery academy uone tofauti.

Mimi mwenyewe nimepita huko nakuhakikishia kiingereza hamna, ukikitaka jifunze mwenyewe.
 
Huo "ujinga" asipojifunza kwa wazazi atajifunza shuleni. Kama sio shule basi nyumba za ibada
Kuna wazazi wanawafundisha watoto wao kuwa fact based kiasi kwamba hata wakikutana na ujinga huo shuleni watauhoji.

Na huko kwenye nyumba za ibada hawaendi kabisa kwa sababu kumejaa ujinga.

Sasa, hapa tunaona mtoto kajiongeza mwenyewe, lakini baba ndiye anamjaza ujinga.

Yani mtoto smart anauliza maswali smart, halafu baba ndiye anamjaza ujinga.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.

Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia mwenzake "take care" hivyo amuuliza babaye nini maana yake!

Nimemuuliza rafiki yangu huyo mwanae anasoma shule gani akaibu yupo shule moja isiyo English medium maeneo ya Mtongani.

Mchana mwema
Kwa wapenzi maana yake asiliwe au kugonga

Kiuanafunzi amjibu "kuwa makini" inatosha
 
Mkuu sio kila English Medium School ni bora kwa mwanao, nyingi ni biashara.

English Medium Schools zinazomjenga mtoto kilugha ni international schools tu.

Naweza kuthibitisha kabisa, pale arusha english medium bora kabisa za primary zinazofuata NECTA(Green acres, Imani, St. Patrick, Angelico)angalia kama watoto wanajua kiingereza.
Nenda international za arusha sasa kama braeburn, ISM, jaffery academy uone tofauti.

Mimi mwenyewe nimepita huko nakuhakikishia kiingereza hamna, ukikitaka jifunze mwenyewe.
Wewe ni kilaza

Hizo shule ulizozitaja watoto wengi wanakibonda vibaya mno
 
Wadau hamjamboni nyote?

Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.

Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia mwenzake "take care" hivyo amuuliza babaye nini maana yake!

Nimemuuliza rafiki yangu huyo mwanae anasoma shule gani akaibu yupo shule moja isiyo English medium maeneo ya Mtongani.

Mchana mwema
Kwaiyo maana yake ni mchana mwema😂😂Wacha tuishi nalo hili
 
Wewe ni kilaza

Hizo shule ulizozitaja watoto wengi wanakibonda vibaya mno
Nimesoma nao naongea from experience.

English medium za necta zinazofundisha kiingereza ni chache mno.

Ndo maana nikasema muongeleshe mtoto wa english-necta na english-cambridge framework ujionee mwenyewe.
 
We ungemjibu vipi maana kila jumapil na kila siku home ana attend ibada na haya masuala anayasikia na kuyajua ndio maana aka relate na kuuliza .
Zamani sana nilikua nikiamini mtu anayefanya kazi garage kwa muda mrefu siku moja atageuka kuwa gari,kadhalika nilijua viongozi wa dini ni km wenyekiti wa kamati za kimbingu kumbe yote ni myth!
 
Zamani sana nilikua nikiamini mtu anayefanya kazi garage kwa muda mrefu siku moja atageuka kuwa gari,kadhalika nilijua viongozi wa dini ni km wenyekiti wa kamati za kimbingu kumbe yote ni myth!
SAwa mkuu uzuri ni kwamba ili uamini chochote uko free ku question kwanza so kama umefikia conclusion yabkuona habar za heavens ni myths, bas heri kwako
 
MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??" He is just 5 years yuko class 1
Woooh!just waoooh....what a genius.....
 
Back
Top Bottom