Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu huyo wako ni genius!MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
Ni wa kawaida tu, sema ni mtu anapenda sana kuuliza na ku relate mambo. Darasan hata hashiki namba 1.Mkuu huyo wako ni genius!
Ukamjibu vipi?MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
itakua pepo toka ππUkamjibu vipi?
mtoto huyo mfanye awe rafiki yako japo akizingua usimtume mama ake adili naye kisa rafikiyakoMImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
God is the creator of Natural Laws, na haitakua mara ya kwanza ku violate hizo Laws. He first ascended to heaven 2000 years ago, and will do that againUkamjibu vipi?
Mnawaharibu akili hao watoto.God is the creator of Natural Laws, na haitakua mara ya kwanza ku violate hizo Laws. He first ascended to heaven 2000 years ago, and will do that again
I know kaka, na hata yeye hakuridhika kabisaa.π€£Mnawaharibu akili hao watoto.
Kakuuliza swali la facts, unamjibu ujinga wa imani.
Huyo Mungu unayemsema huwezi kuthibitisha yupo.
Huyo Yuko vizuriMImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??"
He is just 5 years yuko clasa 1
We ungemjibu vipi maana kila jumapil na kila siku home ana attend ibada na haya masuala anayasikia na kuyajua ndio maana aka relate na kuuliza .Mnawaharibu akili hao watoto.
Kakuuliza swali la facts, unamjibu ujinga wa imani.
Huyo Mungu unayemsema huwezi kuthibitisha yupo.
Mimi sina tatizo hilo kwa sababu siamini na wala sihubiri uongo wa huyo Mungu kuwapo.We ungemjibu vipi maana kila jumapil na kila siku home ana attend ibada na haya masuala anayasikia na kuyajua ndio maana aka relate na kuuliza .
Watoto wa siku hiz wanajiwah sana akil kuchangamka tofaut na sisi wa zamaniHuyo Yuko vizuri
Ahahahaha hapana bwana, mimi baba yake siko nyuma sanaa mkuu ndio maana hata huwa napiga nao stori za namna hiyo. Ila tu ambacho huwa nafanya ni ku balance na kuwaonyesha how science relates with devine world. I dnt want them to abandon faithitakua pepo toka ππ
Nimekusoma chief πmtoto huyo mfanye awe rafiki yako japo akizingua usimtume mama ake adili naye kisa rafikiyako
Anza kuingia naye mkataba mapema wakitaaluma
mbona umekasirikaMnawaharibu akili hao watoto.
Kakuuliza swali la facts, unamjibu ujinga wa imani.
Huyo Mungu unayemsema huwezi kuthibitisha yupo.