Kitu gani kinakufanya uone nimekasirika wakati nimeandika facts tupu?mbona umekasirika
Huo "ujinga" asipojifunza kwa wazazi atajifunza shuleni. Kama sio shule basi nyumba za ibadaMnawaharibu akili hao watoto.
Kakuuliza swali la facts, unamjibu ujinga wa imani.
Huyo Mungu unayemsema huwezi kuthibitisha yupo.
Kuna wazazi wanawafundisha watoto wao kuwa fact based kiasi kwamba hata wakikutana na ujinga huo shuleni watauhoji.Huo "ujinga" asipojifunza kwa wazazi atajifunza shuleni. Kama sio shule basi nyumba za ibada
Kwa wapenzi maana yake asiliwe au kugongaWadau hamjamboni nyote?
Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.
Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia mwenzake "take care" hivyo amuuliza babaye nini maana yake!
Nimemuuliza rafiki yangu huyo mwanae anasoma shule gani akaibu yupo shule moja isiyo English medium maeneo ya Mtongani.
Mchana mwema
Wewe ni kilazaMkuu sio kila English Medium School ni bora kwa mwanao, nyingi ni biashara.
English Medium Schools zinazomjenga mtoto kilugha ni international schools tu.
Naweza kuthibitisha kabisa, pale arusha english medium bora kabisa za primary zinazofuata NECTA(Green acres, Imani, St. Patrick, Angelico)angalia kama watoto wanajua kiingereza.
Nenda international za arusha sasa kama braeburn, ISM, jaffery academy uone tofauti.
Mimi mwenyewe nimepita huko nakuhakikishia kiingereza hamna, ukikitaka jifunze mwenyewe.
Kwaiyo maana yake ni mchana mwema😂😂Wacha tuishi nalo hiliWadau hamjamboni nyote?
Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.
Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia mwenzake "take care" hivyo amuuliza babaye nini maana yake!
Nimemuuliza rafiki yangu huyo mwanae anasoma shule gani akaibu yupo shule moja isiyo English medium maeneo ya Mtongani.
Mchana mwema
Nimesoma nao naongea from experience.Wewe ni kilaza
Hizo shule ulizozitaja watoto wengi wanakibonda vibaya mno
Zamani sana nilikua nikiamini mtu anayefanya kazi garage kwa muda mrefu siku moja atageuka kuwa gari,kadhalika nilijua viongozi wa dini ni km wenyekiti wa kamati za kimbingu kumbe yote ni myth!We ungemjibu vipi maana kila jumapil na kila siku home ana attend ibada na haya masuala anayasikia na kuyajua ndio maana aka relate na kuuliza .
Kwahiyo wewe hujui kingeeeNimesoma nao naongea from experience.
English medium za necta zinazofundisha kiingereza ni chache mno.
Ndo maana nikasema muongeleshe mtoto wa english-necta na english-cambridge framework ujionee mwenyewe.
SAwa mkuu uzuri ni kwamba ili uamini chochote uko free ku question kwanza so kama umefikia conclusion yabkuona habar za heavens ni myths, bas heri kwakoZamani sana nilikua nikiamini mtu anayefanya kazi garage kwa muda mrefu siku moja atageuka kuwa gari,kadhalika nilijua viongozi wa dini ni km wenyekiti wa kamati za kimbingu kumbe yote ni myth!
Woooh!just waoooh....what a genius.....MImi jana mwanangu asubuh tulikua tunaongea kuhusu gravitational force na namna invayofanya kazi, ghafla akaniuliza "sasa baba, Yesu akija kutufufua, je gravitational force haitatuzuia kupaa kwenda mbinguni??" He is just 5 years yuko class 1
🤣🤣mbona umekasirika
Baba kilaza alikosa jibu possiblyUkamjibu vipi?
Kabisa.Kwahiyo wewe hujui kingeee