Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

Haya ndio tunayoyaweza Africa hakuna lingine
 
Africa yaan rais na familia yake ndio kila kitu nchini kama Mungu wanaamuaga kufanya lolote yaan wapo juu ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…