Mtoto wa rais wa kenya ananipenda

cholo

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
97
Reaction score
7
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto
 
watakufata wengi sana...
Siyo watoto tu... Hata wazazi wao.. Haitapita wiki kabla ya kuleta uzi ya kuwa umezimikiwa na David Cameron...
We tulia tu..
 
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto

kwaajili ya afya ya mtoto pempazi ikilowa kwa mkojo inabidi abadilishwe avikwe ingine haraka..
 
nyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo:washing:
 
Hongera mkuu kwa kupendwa na mtoto wa raisi; big up! Naamini kwa umaarufu wako si muda mrefu utapendwa pia na raila odinga baadaye kibaki mwenyewe.Baada ya kenya haikosi utapata mwaliko ukatoe penzi Uingereza kwa David Cameroon.
 
Hongera mkuu kwa kupendwa na mtoto wa raisi; big up! Naamini kwa umaarufu wako si muda mrefu utapendwa pia na raila odinga baadaye kibaki mwenyewe.Baada ya kenya haikosi utapata mwaliko ukatoe penzi Uingereza David Cameroon.
msameheni jamani alikosa cha kupost!
 
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto

Haya, kazi kwenu wanafunzi wa Psychiatry; hii ni Déjà vu katika uhalisia wake. Ama kweli JF ni zaidi ya tuijuavyo, ina watu wa kila namna, pamoja na huyu!
 
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto

una sifa gani mpaka ualikwe ikulu? umejuaje kama n mtoto wa rais? au ndo mambo fb unataka kuyaleta jf? ebu chapa lapa, kama sura n mbaya umeambiwa na mashine ni mbaya? hacha kutuletea adithi za kusadikika! zipeleke fb, we ***** nn?
 
watakufata wengi sana...
Siyo watoto tu... Hata wazazi wao.. Haitapita wiki kabla ya kuleta uzi ya kuwa umezimikiwa na David Cameron...
We tulia tu..
Haaaaahaaahaaa duh kweli kuwa binadamu yahitaji moyo, maana maajabu ya dunia yote lazima uyashuhudie au kusikia
 
......... ...... ....... ........ ........ .......
 
una sifa gani mpaka ualikwe ikulu? umejuaje kama n mtoto wa rais? au ndo mambo fb unataka kuyaleta jf? ebu chapa lapa, kama sura n mbaya umeambiwa na mashine ni mbaya? hacha kutuletea adithi za kusadikika! zipeleke fb, we ***** nn?
I second that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…