Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Sifa za kijinga.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto
watakufata wengi sana...
Siyo watoto tu... Hata wazazi wao.. Haitapita wiki kabla ya kuleta uzi ya kuwa umezimikiwa na David Cameron...
We tulia tu..
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto
duh hawa watu km mizuka vile,nakmbuka niliwaona kwenye movie ya thriller ya mj.![]()
![]()
Ndo wazazi wake hao. She must be beautiful.