dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale.
George weah imesemekana amechukua per diem ya milion 4 kwa siku moja kwenda Qatar kumtizama mwanae anayekipiga huku USA na bahati nzuri jana hiyo mwanae ameweza kumfurahisha baba yake kwa kuipatia goli la kwanza Marekani.
Ajabu ni kwamba baba ake amewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa kwanza muafrica ballon d or lkn ajabu hakuwahi kucheza michuano yoyote ya kombe la dunia.
Sasa naomba niulize huyu mtoto ni wa nje ya ndoa au ndo wale wa kusema ujanani
Kudos sana Timothy Weah kwa goli lile la kitalamu naiona Marekani na England wakisonga mbele
USA 1
Wales1
England 3
Iraq 0
Nawasisilisha kwa sasa Simanjiro