Mtoto wa Rais wa Liberia, Timoth Weah ameifungia Marekani goli dhidi ya Wales

Mtoto wa Rais wa Liberia, Timoth Weah ameifungia Marekani goli dhidi ya Wales


Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale.

George weah imesemekana amechukua per diem ya milion 4 kwa siku moja kwenda Qatar kumtizama mwanae anayekipiga huku USA na bahati nzuri jana hiyo mwanae ameweza kumfurahisha baba yake kwa kuipatia goli la kwanza Marekani.

Ajabu ni kwamba baba ake amewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa kwanza muafrica ballon d or lkn ajabu hakuwahi kucheza michuano yoyote ya kombe la dunia.

Sasa naomba niulize huyu mtoto ni wa nje ya ndoa au ndo wale wa kusema ujanani
Kudos sana Timothy Weah kwa goli lile la kitalamu naiona Marekani na England wakisonga mbele

USA 1
Wales1
England 3
Iraq 0

Nawasisilisha kwa sasa Simanjiro
Wee jamaa vipi? Iraq kacheza lini?
 
Waafrika ni jamii inayoongoza kujikataa halafu bado unawakuta wanalalamika wanabagulwa. Pumbav kabisa.
 
Ishu ya ccm imeingiaje hapo, kikubwa ni uraia pacha tutafte gepu nchi zngine
Hii ndiyo faida sasa ya uraia pacha. Huku kwetu kila siku ccm ni figisu tu.

Uraia pacha hawataki! Mgombea binafsi, hawataki! Kuachia madaraka nako, hawataki!
 
Ujue iyo Liberia ni ubavu wa USA ata uyo Rais aliobwa sana aichezee USA alikataa check ata bendela zao Zina fanana kwa mbali
Kuna ukweli..

images.jpeg
 
Mtoto wa Halali inasemekana alizaliwa Marekani so yeye ni raia wa Marekani.

Hata kama ni mimi nikiwa na uwezo wa kuwa raia wa nchi za America na ulaya Africa sirudi. Kuwa mwafrica ni laana.😥
Watani mkome kuzaa ndaninya nchi tu mke mnaoana wote wa upareni au kibosh mtoto.kuzaliwa anaenda akajifungulie kibosh au upareni kwa wakwe mkome

Mnazalisha tu watoto wakibosho na wapare miaka nenda rudi hamna hata haya ninyi mnazalisha watoto ambao kutwa wanawaza kula makande na Matori hawawazi kula Pizza

Mke akajifungulie marekani au Ulaya mpate mtoto raia wa nje mla pizza
 
George Weah baada ya kustaafu soka alienda kuishi USA huko ndipo akazaliwa huyo dogo
 
naona ndugu mnakazia suala la uraia pacha, mbona hapa sio sehemu yake?

Faida ya uraia pacha ingelipatikanwa pale huyu dogo angekua ana uraia wa huko U.S halafu akachezea timu ya taifa ya Liberia.
Lakini hapo dogo kalinawa kabisa taifa lake, na chakusikitisha kuliko yote Baba yake ndio raisi wa nchi.
 
Liberia na Sierra Leone ni mataifa yaliyotokana na Watumwa waliopewa uhuru wao kule Marekani, baada ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku.

Na ndiyo maana haishangazi kuona hata mji mkuu wa Sierra Leone ukiitwa Freetown.
Black Americans walipoanza kampeni ya kurudi Africa miaka ya 1800, ni nchi mbili walizorudi ambazo ni Liberia na Sierra Leone, ila wengi walirudi Liberia na kuwa watawala.

Liberia na Black Americans wanauhusiano wa miaka mingi sana.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom