Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
KUKOSOLEWA NAKO HAWATAKI!Maisha bora kwa kila mtanzania Hawataki
Kila kitu Hawataki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUKOSOLEWA NAKO HAWATAKI!Maisha bora kwa kila mtanzania Hawataki
Kila kitu Hawataki
Uraia pacha hawautaki sababu wanataka waendelee tawala watu wajingaHii ndiyo faida sasa ya uraia pacha. Huku kwetu kila siku ccm ni figisu tu.
Uraia pacha hawataki! Mgombea binafsi, hawataki! Kuachia madaraka nako, hawataki!
Wee jamaa vipi? Iraq kacheza lini?
Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale.
George weah imesemekana amechukua per diem ya milion 4 kwa siku moja kwenda Qatar kumtizama mwanae anayekipiga huku USA na bahati nzuri jana hiyo mwanae ameweza kumfurahisha baba yake kwa kuipatia goli la kwanza Marekani.
Ajabu ni kwamba baba ake amewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa kwanza muafrica ballon d or lkn ajabu hakuwahi kucheza michuano yoyote ya kombe la dunia.
Sasa naomba niulize huyu mtoto ni wa nje ya ndoa au ndo wale wa kusema ujanani
Kudos sana Timothy Weah kwa goli lile la kitalamu naiona Marekani na England wakisonga mbele
USA 1
Wales1
England 3
Iraq 0
Nawasisilisha kwa sasa Simanjiro
Hii ndiyo faida sasa ya uraia pacha. Huku kwetu kila siku ccm ni figisu tu.
Uraia pacha hawataki! Mgombea binafsi, hawataki! Kuachia madaraka nako, hawataki!
Hii ndiyo faida sasa ya uraia pacha. Huku kwetu kila siku ccm ni figisu tu.
Uraia pacha hawataki! Mgombea binafsi, hawataki! Kuachia madaraka nako, hawataki!
Daah tujuze tuwajue kakaKuna wanasiasa wangapi wa Tanzania ambao either wao wenyewe au familia zao wana uraia wa nje ya nchi? Mngejua jibu la hili swali mngeshtuka sana.
Nchi inatawaliwa na ccm! Na ndiyo watu pekee nchini, wasiotaka uraia pacha.Ishu ya ccm imeingiaje hapo, kikubwa ni uraia pacha tutafte gepu nchi zngine
Kuna ukweli..Ujue iyo Liberia ni ubavu wa USA ata uyo Rais aliobwa sana aichezee USA alikataa check ata bendela zao Zina fanana kwa mbali
Liberia na Sierra Leone ni mataifa yaliyotokana na Watumwa waliopewa uhuru wao kule Marekani, baada ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku.
Watani mkome kuzaa ndaninya nchi tu mke mnaoana wote wa upareni au kibosh mtoto.kuzaliwa anaenda akajifungulie kibosh au upareni kwa wakwe mkomeMtoto wa Halali inasemekana alizaliwa Marekani so yeye ni raia wa Marekani.
Hata kama ni mimi nikiwa na uwezo wa kuwa raia wa nchi za America na ulaya Africa sirudi. Kuwa mwafrica ni laana.😥
KUKOSOLEWA NAKO HAWATAKI!
Babu ni iran cyo iraqWee jamaa vipi? Iraq kacheza lini?
Black Americans walipoanza kampeni ya kurudi Africa miaka ya 1800, ni nchi mbili walizorudi ambazo ni Liberia na Sierra Leone, ila wengi walirudi Liberia na kuwa watawala.Liberia na Sierra Leone ni mataifa yaliyotokana na Watumwa waliopewa uhuru wao kule Marekani, baada ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku.
Na ndiyo maana haishangazi kuona hata mji mkuu wa Sierra Leone ukiitwa Freetown.
Yule kazaliwa Marekani kabla Baba yake hajawa RaisWaafrika ni jamii inayoongoza kujikataa halafu bado unawakuta wanalalamika wanabagulwa. Pumbav kabisa.