MTOTO WA RUGE "NANDY ALIKUWA MPENZI WA BABA"

Haki tena ni nini hii?
Mie naomba kuuliza kwani wakwetu alikuwa na wapenzi wangapi?
Ukimsikiliza mtoto mkubwa utajua Zama aliwachukiza sana Nandy naona alikuwa faraja kubwa kwa baba yake lakini sasa naye boss mbona kama alijichanganya sanaaa?? Siri anayo mwenyewe
RIP Bro!
 
Alikua na wengi
 
Kuwa na heshima we kijana, au mama wa kambo hastahili kuheshimiwa?[emoji4][emoji2955][emoji2955]
 
Waooooooooooo! Haya mko wapi wenye miwivu yenu, wengine eti nandy anajipendekeza nfyuuuuuuuuux
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…