Masoud aliendelea na issue zake kama Maisha Plus na Nyinginezo.. Baadaye nadhani labda walimaliza tofauti zao akarudi... Kwani BP ilimuhitaji zaidi Masoud....kuliko Masoud alivyoihitaji BP.
Sent using Jamii Forums mobile app
PJ na Barbra hawakuwepo wakati wa tukio hilo..... Masoud, Fina na Hando ,,,, Yes.... Masoud na Fina wakagoma.... Hando alisurrender!Interview ilifanyika
Ili kilichotokea ilikuwa ni ubovu wa mic so wakawa wanatumia mic moja watangazaji wote huku moja akitumia ile nyingine
Walioorudi ofisini wakamind hawa kina masoud kwa uongozi ikatafsiriwa kama ukosefu wa nidhamu wakaambiwa waandike barua za kuomba msamaha masoud na wengine waliofukuzwa wakagoma ila wengine waliandika nafikiri babra na hao kina pj pamoja na hando
Phina kawekwa sana mageton na bro toka kiko magomeni kwa mama yake,pika sana ugali magetoni then hao magomen church,hawa madem bana.sema kana sura ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
PJ na Barbra hawakuwepo wakati wa tukio hilo..... Masoud, Fina na Hando ,,,, Yes.... Masoud na Fina wakagoma.... Hando alisurrender!
Naona wengi tumemuelewa KijanaTuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo
Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri
Physically ni bonge la dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Powe BreakfastAsante kwa taarifa....sorry iyo PB ni nini tafadhali
WAKUACHIE BANAAA!Ahahahaah siwez binamuπ€£π€£
Waambie ndugu zako watulie niwape umbea wa mujini , mambo ya jinsia waniachie mwrnyewe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oddo fanya tu kutafuta habari zake!Huyu Mwachi anaishi US?..kumbe ndo maana habari zake hazijulikani bongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisifiagi wanaume under 30, ila nakuhakikishia mwanaume mweusi anaejipenda anaejua kuvaa ana mvuto kiwango cha TBS
Nb wanaume type ya mtoto wa ruge ndio wenye mvuto dunia hasa akiwa above 30
mnatumia akili nyingi kujadili vitu they were meant to be funny!
Nenda pale tips lounge utamkuta dj mwachy akifanya yake..
Vyovote iwavyo!
Duh kwaiyo uyo jamaa ni handsome? Ama kweli Beauty is in the Eyes of Beholder!
dah marehemu alikuwa kiwembe haswa .....bora ameenda kupumzisha mshipa maana wangeumia wengi.Mbona wanasema nandy boss ndo alikuwa anamkula, na ndiye aliyetaka kuolewa na boss, Na ndiye aliyempa hasira zama kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona me naona anasura ngumu tu
Sasa watu mnashangaa nini . Ndio yeye hata bure ntampa kumpoza uchungu wa kufiwa
Sent from my iPhone using JamiiForums