100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Masoud aliendelea na issue zake kama Maisha Plus na Nyinginezo.. Baadaye nadhani labda walimaliza tofauti zao akarudi... Kwani BP ilimuhitaji zaidi Masoud....kuliko Masoud alivyoihitaji BP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masudi katafutwa baada ya PJ na Hendo kwenda EFM.