Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Handsome/Beautiful kweli ni opinion
Hivi huyu ndo handsome wa kufanya mtu apagawe hadi kuandika thread!!?
Kwel uzuri upo machoni pa atazamae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbavu zangu , aaaah , lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo kwa sifa hizo hata mimi ntaanza kujipaka kiwi niwavutie mamake.😂😂😂😂😏Nashangaa wanatumisinterprate..mwanaume mweusi ni HAZINA YA TAIFA LETU CHANGA
Siyo kwa sifa hizo hata mimi ntaanza kujipaka kiwi niwavutie mamake.
Kaka gani anajionaga mzuri?hawezi kuwa kaka.😂😂😂😂..angalia comments za wanawake wanapenda wanaume gan..nashangaaga wakaka weupe kutwa kujiona wazuurii🤔
NampendaGa Phina sana yani.Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
😂😂Kuna mdau alisema picha yake
mwachi ataombea mkopo crdb😁😁😁😁😁
😂😂😂😷😷😷😷Kaka gani anajionaga mzuri?hawezi kuwa kaka.
Vyovote iwavyo!
HE/SHE TUKO OKEY!
shida mnapata nyie sasa !
Muacheni bana!
Nilimuona mbonamzuri sana huyu kaka..hukumuona majuz kwenyr blak..
Phina kwao mkwajuni Kinondoni Magomeni miaka yote huyo unamwongelea sio Fina nayemjua mimi.Phina kawekwa sana mageton na bro toka kiko magomeni kwa mama yake,pika sana ugali magetoni then hao magomen church,hawa madem bana.sema kana sura ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema mm toka msiba..huyu kaka mzuri sana...!kimbe na ww una jicho[emoji4]