Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

KWA KWELI UNAHITAJI MAOMBI YA NGUVU PALE KWENYE SHIDA ZOTE ZA KUONDOKEWA NA BABA MTU WEWE UKO KWENYE UZIZINZI....mmeo atakuwa na shida sana….
 
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
NampendaGa Phina sana yani.

decomm!
 
Vyovote iwavyo!

HE/SHE TUKO OKEY!
shida mnapata nyie sasa !
Muacheni bana!

Nisome vizuri, nilitaka kuweka FACT clear kuhusu post yako kwamba hajawahi kutamka jinsia.

Otherwise niko fine, nafatilia kimya kimya thread zake, na hii nimechangia kwa sababu nimekuona.

Vipi ulikumbuka kuuliza kuhusu kitabu cha The Concubine?
 
Back
Top Bottom