af acha ungeeeee.....Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
Akituma niTag...hamna demu apo unakutana na Ajuza mama angu mzazi!You don't sound like halfcaste hebu tuma picha yako tuthibitishe
Tena mbaya zaidi wanachukua izo picha za hao jamaa wanazipigia nyeto!Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy
Hivi Idris ni mweupe ? Labda hemed ( PhD)Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy
Kakimbia baada ya kumuomba picha. Atakuwa ni ajuza flani umri umeenda hamna mwanaume anayemtaka.Akituma niTag...hamna demu apo unakutana na Ajuza mama angu mzazi!
Sawa sura ya mamaSasa unategemea mwanaume ahonge matured lady kama wewe wakati kuna mabinti wabichi wabichi wako vidato???
Ndo mana siku zote utaishia kuona kua hana hela but believe it o not....He makes it Rain somewhere else!
Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy
Bcuz they dont want you so unakua preProtective to save yo ass from embarrassment!
Rejection hurts! I can feel yo pain from a distance, Miles away!
Poa!
Nilikifuma mahali aseee!
Nenda ELITE books, kule Quality center Nyerere road, ningekuwa na namba yako ya simu ningekupigia iwapo nikuchukulie!
But nenda hapo!
Kipo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeshampata? naona hata Insta kagoma ku accept request lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakua muhaya wa MTO ngono huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah acha basi dharau, thinking capacity ya mtu unaipima kwa kuangalia majukwaa anayotembelea mbona hata huko siasani kuna watu wana akili ndogo hadi unajiuliza hivi aliyeandika comment hii ni mtu mzima au mtoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
I like youTuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo
Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri
Physically ni bonge la dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi je umeniona?Na insta wala hataki ku accept request yangu jaman , kokote alipo anifungulie natumia Jina la @@@@ insta [emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
June 1 2013 ulikuwa mwanaume, leo hii mwanamke.Sasa watu mnashangaa nini . Ndio yeye hata bure ntampa kumpoza uchungu wa kufiwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
mi ndo mana niko sa hizi kwa Lydia wedding naandaa gauni la harusi yako na Mwachi!Elite books wapo hata mbezi beach makonde karibia na masana hospital
Sent from my iPhone using JamiiForums