snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
af acha ungeeeee.....Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
hebu anza!