Kilimpata nini?Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Kuna mdau alisema picha yakeTuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo
Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri
Physically ni bonge la dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?😂Hata Mimi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na ndiye aliyempa hasira zama kuolewaAfu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?[emoji23]
Warumi, naskia huyo mtoto ndio sababu ya nandy. Kulia kwa uchungu kupitiliza kumkosa Ba mkwe
Je nandy ana umri gani asije mbemenda mtoto wa watu wakati wewe upo?[emoji16]
Usiniambie . Usinifanye nikategesha mimba binamu [emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yawezekana, maana alikuwa anatambulika ma mc wote walimpa kipaumbele kila stage alitajwa nandy bila kuunganishwa na wasanii wenzake.Mbona wanasema nandy boss ndo alikuwa anamkula, na ndiye aliyetaka kuolewa na boss, Na ndiye aliyempa hasira zama kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome/Beautiful kweli ni opinion
Hivi huyu ndo handsome wa kufanya mtu apagawe hadi kuandika thread!!?
Kwel uzuri upo machoni pa atazamae
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mwambie huyoHuwa napata wasiwasi sana mwanaume akipinga au kukubali kuhusu u-handsome au u-kibamia wa mwanaume mwenzio,
Wadada ndo wanajua nini wanataka mzee
Ni kama sisi wanaume tunavyowachambuaga watoto wa kali
Sioni sababu ya wewe kupinga mwamba ni handsome
Waache wadada wamdadavue
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Japo ni utani ila hii notion ya kusema mtu mpole rahisi kumpanda kichwani ifuteni. Hakuna mtu hatari na asiyetakiwa kuchezewa kama mtu anyetumia maneno machache na mtaratibu wa tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app