Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Kilimpata nini?
 
Tuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo

Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri

Physically ni bonge la dude

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau alisema picha yake
mwachi ataombea mkopo crdb😁😁😁😁😁
 
Hata Mimi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Afu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?😂

Warumi, naskia huyo mtoto ndio sababu ya nandy. Kulia kwa uchungu kupitiliza kumkosa Ba mkwe

Je nandy ana umri gani asije mbemenda mtoto wa watu wakati wewe upo?😁
 
Akili za mtanzania zinawaza ngono ngono ngono badala ya kupambana kujipatia visenti.Tanzania ya viwanda naViwanda vyenyewe ni vya Watumi.

Mimi kudanga Ndo maisha yangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona wanasema nandy boss ndo alikuwa anamkula, na ndiye aliyetaka kuolewa na boss,
Afu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?[emoji23]

Warumi, naskia huyo mtoto ndio sababu ya nandy. Kulia kwa uchungu kupitiliza kumkosa Ba mkwe

Je nandy ana umri gani asije mbemenda mtoto wa watu wakati wewe upo?[emoji16]
Na ndiye aliyempa hasira zama kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y
Mbona wanasema nandy boss ndo alikuwa anamkula, na ndiye aliyetaka kuolewa na boss, Na ndiye aliyempa hasira zama kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana, maana alikuwa anatambulika ma mc wote walimpa kipaumbele kila stage alitajwa nandy bila kuunganishwa na wasanii wenzake.

Ila nae mzembe, itakuwaje akose hata copy ya ruge?😂
 
Handsome/Beautiful kweli ni opinion
Hivi huyu ndo handsome wa kufanya mtu apagawe hadi kuandika thread!!?
Kwel uzuri upo machoni pa atazamae

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa napata wasiwasi sana mwanaume akipinga au kukubali kuhusu u-handsome au u-kibamia wa mwanaume mwenzio,

Wadada ndo wanajua nini wanataka mzee

Ni kama sisi wanaume tunavyowachambuaga watoto wa kali

Sioni sababu ya wewe kupinga mwamba ni handsome

Waache wadada wamdadavue
 
Phina kawekwa sana mageton na bro toka kiko magomeni kwa mama yake,pika sana ugali magetoni then hao magomen church,hawa madem bana.sema kana sura ngumu.

Back
Top Bottom