Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Kwani uyo jamaa ni mtoto sasa mbona njemba kubwa kabisa iyo si karibu 30 somethin??Afu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?[emoji23]
Warumi, naskia huyo mtoto ndio sababu ya nandy. Kulia kwa uchungu kupitiliza kumkosa Ba mkwe
Je nandy ana umri gani asije mbemenda mtoto wa watu wakati wewe upo?[emoji16]
Aisee mkuuu, Jamaaaa zetu wanatutamani sana. Yaaani Wahaya uwa tuna kitu ambacho kama hawa wenzetu wangekuwa nacho sijui ingekuwaje? Katika hiii Tanzania.Haya sasa baada ya msiba
Movie mpya imeanza .Kwa Hali hii mtakwepaje kuolewa na wahaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kuedit hapo kwenye BOLD....Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo sakata lilikuaje mkuuFina na Masoud walitangaza kipindi kimoja pale CLOUDS "MORNING JAM (km sijakosea kabla hakijaitwa PB) Na walikumbwa ote na lile sakata la US EMBASSY INTERVIEW kisha wakafukuzwa Kazi pamoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes...Kokushubira!Wa kiume anaitwa juju.. Wakike shubi.nahisi ni kokushubi
Nimependa hii tabia ya ruge kuenzi majina yake ya asili...ukiangalia hadi kwao wote majina ya asili
Sent using Jamii Forums mobile app
Urithi gani wakati hela imeishia kwenye matibabuMie namuona wa kawaida tu. Kinachombeba ni jina la baba yake na urithi atakaopewa.
Jamaa mbona kama umepanic sana?? Relax....kama una bamia tumia dawa za masai si naskia zinawasaidiaga.?Sure mwanaume unamcheka mwanaume mwenzio eti kibamia umejuaje? Au na weww unaona inapwaya kwa 0713
Siwaelewagi kabisa hawa watu
Official sasa wewe ni mwanaume mchele mchele
Siku-quote wewe ila naona imekuingia umeona ujibu
Nimejibu post #126Hilo sakata lilikuaje mkuu
Halafu vipotabo... Hapendi mabongeYes...Kokushubira!
Hata mademu zake na natural, hakupendi wanaojikwatua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jujuman sio jina la kikeSasa juju si jina la kike? Anaweza kuja kua mchele mchele mana ilo jina limekaa kidemu
Yeah...USA kuna mademu wakali sana na wa kila aina!...so hakuona jipya bongo
Nimekusoma Mkuu. Ila sasa kosa la hao jamaa ni nini kama ni ubovu wa MIC ama wao ndo waliharibu.?Nimejibu post #126
Wao ndio waliona wamefanyiwa hujuma na wenzao wakaamua kugoma ila Hando akawageuka akaingia kazini,by then mikataba yao ilikua imeisha Ruge akawamwaga Fina na MasudiNimekusoma Mkuu. Ila sasa kosa la hao jamaa ni nini kama ni ubovu wa MIC ama wao ndo waliharibu.?
"JUJUH" sio jina la kike? Like seriously? Si kuna demu msanii tena wa mtoni japo sio kwa aziz ali anaitwa Jojo aliimba Too Little Too Late, ??
Kumbe walifanyiwa Ntimanyongo. Asante kwa taarifa MkuuWao ndio waliona wamefanyiwa hujuma na wenzao wakaamua kugoma ila Hando akawageuka akaingia kazini,by then mikataba yao ilikua imeisha Ruge akawamwaga Fina na Masudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Juhjuh aka yao ya Junior mkuu mambo ya kuita watoto jinsi wanavyotamka kama Nasoro (Cholo) ,Mariam (Mamu) au Khalid (Tidi)"JUJUH" sio jina la kike? Like seriously? Si kuna deju msanii tena wa mtoni japo sio kwa aziz ali anaitwa Jojo aliimba Too Little Too Late, ??
Sasa Jojo na Juju si yale yale tu? Kumbe saa nyingine wazazi ndo wanawajambiaga watoto wao na kuwapa gundu ....
Unamuita mtoto wa kiume JUJU afu utegemee awe na tabia za kiRijali?????
The Almighty God Must be Crazy to allow that!