Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Junior aka yake ni Juju?? Sio Jr.?? Smh
Kama una watoto utalielewa hili,kuna aka mnatunga wazazi au ndugu tu na mara nyingi yeye mwenyewe mtoto ukimuuliza jina lako nani mfano anaweza kutamka juju badala ya Junior na familia inaendelea na hiyo aka ni vitu vya kawaida sana,mfano mzuri Ricardo "Kaka" mchezaji wa Brazil,jina la kaka ni aka ya Ricardo alipewa na familia baada ya mdogo wake kumuita kaka badala ya Ricardo!

Nikuulize wewe sasa "Je aka ya Ricardo ni kaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona huyu kaka yao kina Juju kuna kipindi alishawekwaga insta na pages za udaku kipindi yule mama travis amepiga picha amevaa shirt la Ruge anacheza mziki. livyojifungua tena watu wakawa wanasema Travis sio wa Ruge wakaunganisha picha za watoto wa Ruge (wanaojulikana na huyo Mwachi akiwepo).
I wonder watu ndio wamemuona msibani Ruge Jr kumbe yupo kitambo na sio siri
 
Walitakiwa kufanya Interview na huyo mgeni kutoka ubalozi wa US kama sikosei(Naweza kusahihishwa) Then vitendea kazi vilikuwa vinazingua toka siku nyingi.. na especially Mic. Na Walikuwa wanaulalamikia Uongozi lakini wakashindwa kurekebisha. Then siku walikuwa wafanye hiyo Interview na huyo Mheshimiwa wakajipanga wafanye Mgomo wote watatu(Hando,Fina na Masoud) Asubuhi Mgeni kafika kweli wakagoma. Ila Hando akawasaliti hakugoma. Ndiyo wakafukuzwa Clouds Masoud na Fina. Ila Hando akabaki hadi alivyoondoka mwenyewe kwenda EFM.. (kwa Mujibu wa Masoud aliwahi kuhojiwa siku za nyuma sana akaeleza namna hiyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh mwenza kuna mtu amesema ilikuwa siri? Na kitu kikipostiwa insta kila mtu ataona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa msiba ndo yule wanasemaga alimtia mimba mwanafunzi wa primary enzi izo anakaa mlimani?
Inawezekana ndo yeye maana uyo jamaa hakosi miaka 30 ya umri...so ukipiga esabu vizuri inawezekana mimba yake ilitungwa wakati mama ake yupo primary school!

Uyo mama travis naye ni msanii ama muuza nyago?
 
Ilikuaje Masudi akarudi sasa
 
Kama kuna mtu umu anafahamu elimu ya mwachi atuwekee wasifu wake maana niliona kama kiswahili anakitamka kama kizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…