Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
68052C1E-909C-48E3-88B2-92CC71EEDCC6.jpeg

Ila wanazengo huyu mtoto mkubwa wa Ruge ni handsome. Yaani tangu nimuone siku ile akitangaza wasifu wa marehemu mi nilikua hoi mwenzenu, hata sisikilizi namuangalia tu alivyokua mashalah.

Mzuri mwenyewe halafu anaonekana mpole. Hawa ndo wazuri unawapanda kichwani na amefanana na baba ake mwenyewe Ila Mwachi handsome kumzidi baba yake.

Sijui nitampatia wapi wanazengo nimdangie na sasa hivi atakuwa na hela za rambirambi za kutosha tu.


Bongo movie kama nawaona wanavyommendea, na nitawaroga mwaka huu na kujirahisisha kwenu.

Na usikute akina Zamaradi walikuwa hawajui kama Ruge ana mtoto mkubwa vile, maana suala la urithi pale wasahau Mwachi wangu ndo anashika usukani. Akina Juju wataambulia kusomeshwa tu, kwanza mama yao kaolewa ataisoma namba.

Au ndo wataanza kumdanga na mtoto wa marehemu, maana Mwachi analipa bwana, yule hata bure mi nakubali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom