mnatumia akili nyingi kujadili vitu they were meant to be funny!
warumi akiwa mwanaume au mwanamke inakusaidia au kukuathiri nini?
akiwa shoga au mpunga au mchicha mwiba we inakupunguzia nini?
Yani kuna vitu waja mnahangaika navyo maskini mpk mnasahau hii ni cyber world tu!
YEYOTE ANAWEZA KUWA YEYOTE KULINGANA NA CHOCHOTE ALICHOPANGA KUTUMIA KWENYE ULIMWENGU HUU!
sidhani kama miongoni mwa matatizo yako uliyonayo mojawapo ni kujua jinsia ya
warumi
TUNAMPENDA NA AINA YAKE HII YA UANDISHI!
hayo mengine hayatuhusu kabisa!
sisi tunaomfurahia na huu ubuyu, wala hatusumbui!
NYIE MNAOKATIZA HUKU KAMA MNAKIMBILIA CHOO CHENYE NGAZI, saaaasaaaa?
PSYUUUUUUUUUUUUUUU