didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff