didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Dec 31, 2024 #1 Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 4,035 Reaction score 11,462 Dec 31, 2024 #2 Tanzania ukiua kwa ajali ya barabarani kwa kosa lolote unalipa laki 7, ukigongwa na gari la ubalozi wewe utajijua.
Tanzania ukiua kwa ajali ya barabarani kwa kosa lolote unalipa laki 7, ukigongwa na gari la ubalozi wewe utajijua.
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,896 Reaction score 5,181 Dec 31, 2024 #3 Wakusoma 12 said: Tanzania ukiua kwa ajali ya barabarani kwa kosa lolote unalipa laki 7, ukigongwa na gari la ubalozi wewe utajijua. Click to expand... Baba yake angekuwa rais angepewa msamaha wa rais kama alivyofanya Biden kwa mtoto wake. Ulishawahi kusikia kisa cha bwana mdogo Ethan Couch.
Wakusoma 12 said: Tanzania ukiua kwa ajali ya barabarani kwa kosa lolote unalipa laki 7, ukigongwa na gari la ubalozi wewe utajijua. Click to expand... Baba yake angekuwa rais angepewa msamaha wa rais kama alivyofanya Biden kwa mtoto wake. Ulishawahi kusikia kisa cha bwana mdogo Ethan Couch.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Dec 31, 2024 #4 Ingekuwa hapa Tanzania huyo jaji angefuatwa na wasiojulikana