jay z kakopi sembuse diamond...huna jipya kaharishe
😂😂😂 Duuh.Na wewe ukajambe mbele
mara ya mwisho kusikia wimbo wake ukipigwa huku mtaani sijui hata ilikuwa liniAlikiba alishasema yeye hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake. Alikiba hata mfanyaje kwenye game yeye ndo the best.povu ruksa
Itakua mtaani kwenu tu. Mkuumara ya mwisho kusikia wimbo wake ukipigwa huku mtaani sijui hata ilikuwa lini
Kutoka kwny mada ya mtoto wa tandale hadi kwa mchezaji wa coastal unionAlikiba alishasema yeye hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake. Alikiba hata mfanyaje kwenye game yeye ndo the best.povu ruksa
Alikiba alishasema yeye hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake. Alikiba hata mfanyaje kwenye game yeye ndo the best.povu ruksa
Jigga kakopi kwa nan ?jay z kakopi sembuse diamond...huna jipya kaharishe
nani kiba100 uyu?? hahahaha uyu aliye owa mombasa hahaha afu kumbe yule demu kamtia mimba then akaolewesha kwa nguvu..Alikiba alishasema yeye hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake. Alikiba hata mfanyaje kwenye game yeye ndo the best.povu ruksa
huwezi kusikia huko uswazi kwenu ..nyimbo zake wanasikiliza waheshimiwa kwenye mindinga ya kifaharimara ya mwisho kusikia wimbo wake ukipigwa huku mtaani sijui hata ilikuwa lini
labda ndo maana wanapata ajari sasa usikilize bolingo sijui sebene kwenye gari la milion 100 si lazima gari lenyewe liache njia na kupinduka?huwezi kusikia huko uswazi kwenu ..nyimbo zake wanasikiliza waheshimiwa kwenye mindinga ya kifahari