Mtoto wa tandale kwenye ubora wake

Mtoto wa tandale kwenye ubora wake

hata mtaani kwetu pia huwa sisiki nyimbo za ali kiba
 
Alikiba alishasema yeye hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake. Alikiba hata mfanyaje kwenye game yeye ndo the best.povu ruksa
nani kiba100 uyu?? hahahaha uyu aliye owa mombasa hahaha afu kumbe yule demu kamtia mimba then akaolewesha kwa nguvu..
 
huwezi kusikia huko uswazi kwenu ..nyimbo zake wanasikiliza waheshimiwa kwenye mindinga ya kifahari
labda ndo maana wanapata ajari sasa usikilize bolingo sijui sebene kwenye gari la milion 100 si lazima gari lenyewe liache njia na kupinduka?
 
Back
Top Bottom