Mtoto wa tandale kwenye ubora wake

Mtoto wa tandale kwenye ubora wake

hata huku kwetu nyumba zinazopiga bolingo za super sub kiba zinaonekana kunamshamba anaishi humu.
 
Duh shahrukh khan tena ebu ngoja nikaitafute ""Koyla"" kwanza nijikumbushie movie tamu sana ile ya love story.
 
Watz sijui undondocha tunarithishana vizazi kwa vizazi.

Anyway, mleta uzi kama wewe ndiyo mmiliki wa hiyo youtube channel usivunjike moyo.
WaTz wengi tuna stress na tukipenda tumependa.

Nashauri kwanza uwe unaandika script.
Nini kianze.
Nini uongee.
Tone ipi utumie.

Pia usiwe unaweka ishu moja kama hiyo, reseaech hata ishu nane, kumi ambazo zitatoka sehemu mbalimbali duniani n.k.

Kubwa jingine. Tumia kiingereza. Target audience ya nje ya sisi haters, hatujielewi.
 
Jamaa anafosi sana muziki wake uende mbele,ila kuna mahala panapelea
 
Back
Top Bottom