Mtoto wa Will Smith (Jaden) akiliwa Mate live na Mwanaume mwenzie!

Mtoto wa Will Smith (Jaden) akiliwa Mate live na Mwanaume mwenzie!

Mwenye Enzi Mungu atuongoze sisi na vizazi vyetu. ..Tanzanian nchi yetu milele. .atuepushe na hili janga kuu! EHH MOLA!
 
Fanya research ya kutosha kabla ya kuposti vitu, huyo dogo siyo shoga. Google halafu cheki hiyo picha kwenye muvi zake. Haliwi mate.
We uliyejifanya unajua kufanya research za kutosha, huyo keshajitangaza mwenyewe kuwa punga.
 
Fanya research ya kutosha kabla ya kuposti vitu, huyo dogo siyo shoga. Google halafu cheki hiyo picha kwenye muvi zake. Haliwi mate.
LEO UNA LIPI LA KUSEMA MKUU?

LEO HII DOGO KASHAJITAANGAZA KUWA YEYE NI SHOGA.

UNA MPANGO WOWOTE WA KUNYWA SUMU LABDA?
 
HADI RAHA AISEE..

NIMEFURAHI SANA DOGO ALIVYOJITANGAZA KUWA YEYE NI SHOGA.

MUNGU MBARIKI JADEN SMITH.
 
Fanya research ya kutosha kabla ya kuposti vitu, huyo dogo siyo shoga. Google halafu cheki hiyo picha kwenye muvi zake. Haliwi mate.
Mkuu njoo tena hata mm sijapata uthibitisho
 
Ni ngumu kusema ni shoga au la; ila kilichopo ni kwamba kuna kampeni kubwa ya kuingiza ushoga kwenye jamii ya watu weusi. Dogo mwenyewe mara kadhaa kafotolewa kavalia nguo za kike na baba yake ambaye amewahi kumla mate mtoto wake akamtetea kuwa ni jasiri sana ndo maana anajaribu kila kitu ikiwemo kuvaa nguo za kike.
Inaonekana hiyo ni movie lakini maudhui ni kupandikiza ushoga kwa jamii ya watu weusi.

Unakumbuka kesi ya chapel show ambapo alivunja mkataba wa dola milioni 50 sababu alikataa kuvaa nguo ya kike kwenye show yake?
Kuna kinacho endelea kwa upande wa industry ya intertaiment kote duniani na kampeni za ndoa ya jinsia moja.
search kwenye google "salimsangi" utaipata blog yenye jina hilo la salimsangi tafuta post yenye jina la "Dola ya kishetani na ushoga"
Hapa ndo Umeonge ukweli maana kuna kila dalili msanii sio shoga anapewa dili ya kuact dalili au tabia za kishoga ili apige hela ndef! Anaweza kwenda mbali hadi kujitangaza kua ni shoga apige hela ili kuzidi kuupromote ushoga
 
Hivi wazazi wake watashangaa kweli alivyojitangaza ni shoga

Alivyokuwa anavaa nguo za kike wanafurahia tu sema wenzetu wanajionea kawaida tu

Mungu azidi kutunusuru tu na vizazi vyetu
 
Ant Christ, watoto Wa Obama na ushoga vyote umechanganya, habari mchanganyiko kweli
Haha...anaonekana alikua na jambo na ANTI zake KLAISTI, lina mkereketa, alafu akapita mahali akaona kuna picha .....akaunganisha matukio basi ndio tumepata mboga kama hivyo yani
 
Hapa ndo Umeonge ukweli maana kuna kila dalili msanii sio shoga anapewa dili ya kuact dalili au tabia za kishoga ili apige hela ndef! Anaweza kwenda mbali hadi kujitangaza kua ni shoga apige hela ili kuzidi kuupromote ushoga
AUTANGAZE USHOGA KWA FAIDA YA NANI SASA?
 
Back
Top Bottom