Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Ila katoto kenyewe katamu kanasisimua kapo km wakorea 😋Jichanganyeni mliwe vichwa!
Picha tafadhariIla katoto kenyewe katamu kanasisimua kapo km wakorea 😋
Moja ya top universities , ukipata gamba lake, ajira inakufuata si ww unaifuataHarvard patamu asikuambie mtu. Shahada ya pale sio ya mchezo ina heshima zake.
Picha tafadhari
Bofya hilo jina lake Google itakuletea hundreds of them.Xi mingze
Absolutely right! Ingawa yeye huyo sidhani ni kwa sababu ya ajira but worldwide recognition!Moja ya top universities , ukipata gamba lake, ajira inakufuata si ww unaifuata
Unafikiri ana akili kama za Lema?Usishangae akaomba kupewa hadhi ya ukimbizi..
Oya mshua ongea na mwanao 😁Source: Trust me bro
Anataka uhuru wake wa nafsi,mwili na mazingira.Vyeo ameawaachia kondoo wa baba yake.Kajasusi hako, hakuna kitu katakosa huko China kinachopatikana Marekani. Kama ni ujamaa kwani kanataka kugombea uraisi USA?
Binti wa Rais wa china na mwenyekiti wa ccp Xi jinping aitwaye xi mingze .
Xi mingze amapanga kugomea kufukuzwa usa kwa kutoa sababu kuwa yeye sio mfuasi wa sera za ki comunist
Mtakumbuka kuwa serkali ya Trump inapnga kuwafutia visa wanafunzi maelfu kwa maelfu kutoka china wanaosoma vyuo vya Usa hasa Havard
Serikali ya usa itaanza na makundi ya wanafunzi wanaotumwa na ccp ili kupunguza na
Kuondoa ushawishi wa sera za u communist ndani ya
Usa
Hapa waswahili mjifunze mtoto wa Rais wa china amekataa kurudi apo uswekeni china[emoji16][emoji16]
In God we trust [emoji35]
Weka chanzo cha hii habari Ili kina Xi Jinping wasipinge.Binti wa Rais wa china na mwenyekiti wa ccp Xi jinping aitwaye xi mingze .
Xi mingze amapanga kugomea kufukuzwa usa kwa kutoa sababu kuwa yeye sio mfuasi wa sera za ki comunist
Mtakumbuka kuwa serkali ya Trump inapnga kuwafutia visa wanafunzi maelfu kwa maelfu kutoka china wanaosoma vyuo vya Usa hasa Havard
Serikali ya usa itaanza na makundi ya wanafunzi wanaotumwa na ccp ili kupunguza na
Kuondoa ushawishi wa sera za u communist ndani ya
Usa
Hapa waswahili mjifunze mtoto wa Rais wa china amekataa kurudi apo uswekeni china😁😁
In God we trust 😡
Wanapoishi kama wafungwa ndiyo ulinganishe na USA?Propaganda za hovyo hizi kabisa, unafikiri China ni kama huko kwenu kwa mtogole mnaoishi kwenye mifereji michafu itiririshayo vinyesi?