Mtoto wa Xi jinping agomea kufukuzwa USA, asema hapendi kurudi Uchina

Mtoto wa Xi jinping agomea kufukuzwa USA, asema hapendi kurudi Uchina

Hizi ni tetesi tu watu wanatumia kupata watazamaji.

Xi Mingze alimaliza bachelor's 2014 Harvard, akarudi nyumbani Beijing.

Inasemekana alirudi Harvard 2019 kuendelea na masomo ila hakuna uthibitisho.

Kwanza unaambiwa wakati anasoma bachelor's alitumia jina feki ni kwamba tu wachache walimgundua.
 
Alitumia jina feki kwa uahirikiano na chuo? Au chuo walikuwa hawajui?
Alitumia "pseudonym".

Ni jina unalotumia badala ya jina lako halisi kwa ajili ya sababu maalum, nadhani kuna taratibu za sheria zinaruhusu mfano kwenye kulinda faragha, kufanya ujasusi nk.

Linakuwa kama jina lako dogo lakini kisheria halitambuliki kama jina halisi.
 
Alitumia "pseudonym".

Ni jina unalotumia badala ya jina lako halisi kwa ajili ya sababu maalum, nadhani kuna taratibu za sheria zinaruhusu mfano kwenye kulinda faragha, kufanya ujasusi nk.

Linakuwa kama jina lako dogo lakini kisheria halitambuliki kama jina halisi.
Ooh, ok mkuu.
 
Binti wa Rais wa china na mwenyekiti wa CCP Xi Jinping aitwaye Xi Mingze .

Xi Mingze amapanga kugomea kufukuzwa USA kwa kutoa sababu kuwa yeye sio mfuasi wa sera za kikomunisti

Mtakumbuka kuwa serikali ya Trump inapanga kuwafutia visa wanafunzi maelfu kwa maelfu kutoka China wanaosoma vyuo vya Usa hasa Harvard

Serikali ya USA itaanza na makundi ya wanafunzi wanaotumwa na CCP ili kupunguza na
Kuondoa ushawishi wa sera za u communist ndani ya USA


Hapa waswahili mjifunze mtoto wa Rais wa China amekataa kurudi hapo uswekeni China😁😁

In God we trust 😡
Ila dogo bwana unazingua
 
Propaganda za hovyo hizi kabisa, unafikiri China ni kama huko kwenu kwa mtogole mnaoishi kwenye mifereji michafu itiririshayo vinyesi?
Ndugu yangu wachina ni wamachinga kariakoo, nenda Geita, Mtwara, Shinyanga na Chunya uangalie wanavyoishi. Yaani mzungu ni mzungu tu, mi nashangaa tunalkumbatia watu ambao mpaka leo hii wana utumwa na uuzwaji wa binadamu nchini mwao. Taifa kama linashindwa kuwajali Raia wake na wanakuja kuwa machinga kariakoo ndio unasema Taifa kubwa. Mara nyingi ukitumia akili kidogo bila kufikiri utangundua ukweli. Propaganda ya wachina ni kubwa sana.
 
Source: Trust me bro
Screenshot_20250601-124301_X.jpg
 
Back
Top Bottom