Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Unaamini habari za huyo malaya mzushi Myahudi aliyelowea Marekani aliyeharibiwa sura na plastic surgery
Unaamini habari za huyo malaya mzushi Myahudi aliyelowea Marekani aliyeharibiwa sura na plastic surgery
Tafuta vyanzo vilivyo na credibility acha kuokoteza habari za udaku
Mingze alishaondoka Marekani kitambo sana
Mpaka leo hawana picha sahihi ya Mingze wanatapatapa tu chawa wa Mr TACO
Akale konokono😀Ndiyo hivyo.Hataki kurudi Shanghai.
Ni kweli huyo Laura Loomer ni MAGA mzushi mbaguzi mbaya anayeogopwa hadi na Trump na MAGA wengine lakini sio ajabu kwa binti wa Xi kuishi Marekani, Wachina wanaikubali sana US.Laura Loomer ni mzushi maarufu sana, ukimtafuta mitandaoni utaona CV yake.
Kwanza hiyo picha hapo sio ya Xi Mingze.
Unaelewa kinachozungumziwa kwenye huu mjadala?
Yupo USAUnaamini habari za huyo malaya mzushi Myahudi aliyelowea Marekani aliyeharibiwa sura na plastic surgery
Tafuta vyanzo vilivyo na credibility acha kuokoteza habari za udaku
Mingze alishaondoka Marekani kitambo sana
Mpaka leo hawana picha sahihi ya Mingze wanatapatapa tu chawa wa Mr TACO
Hayupo Marekani kwa sasaYupo USA
Mrudishe mwanao au ashazoea fantas za kina diddy😁
Picha tafadhaliIla katoto kenyewe katamu kanasisimua kapo km wakorea 😋
Huna uhakikaHayupo Marekani kwa sasa
Hiyo link haihusiani na kilichoandikwa kwenye uziHuna uhakika
Sasa hii ndo maana halisi ya mkanda umemeza deck
Hiyo link haihusiani na kilichoandikwa kwenye uzi
Usituchoshe na haya makorokoro unayotuma kutoka kwa Wahindi ambao ni anti-China
Sidhani kama Kuna tofauti sana ya tunaolipia mamilioni mtoto kufundishwa a... Apple, jambo ambalo waweza kulifanya kama utapunguza muda wa kuangalia vikaragosi vya insta.Harvard patamu asikuambie mtu. Shahada ya pale sio ya mchezo ina heshima zake.
firstpost ni media ya kihindi, haziaminiki, hata na wahindi wenyewe.
Plagiarism kibao havard,watu wananunua tu shahadaHarvard patamu asikuambie mtu. Shahada ya pale sio ya mchezo ina heshima zake.
Si afadhali ya huko zinagundulika na hatua zinachukukiwa? Huko kwingine ni balaa!Plagiarism kibao havard,watu wananunua tu shahada
Vituko hivi nawe unaamini huu uchafu ?
Nipe picha ya binti wa Xi JinpingNi kweli huyo Laura Loomer ni MAGA mzushi mbaguzi mbaya anayeogopwa hadi na Trump na MAGA wengine lakini sio ajabu kwa binti wa Xi kuishi Marekani, Wachina wanaikubali sana US.