Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hello Banzukulu,
I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics.
Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko na ni mshtuko ama ajabu vile utapenda wewe, matukio kama haya kwa siasa za Uganda sio ajabu wenye rejea za huko nyuma watakuja na makala nyakati hizi.

Miaka 28 ya ndugu Gen.Muhoozi akitumika jeshini si haba, namtabiria akianza matumaini mapya na maandalizi mapya ya kiakili na kisaikolojia kwa Waganda kuelekea Nakasero Statehouse.

Best of luck ndugu Gen Muhoozi. One Uganda and One greater East African Community.

Young leadership with greater prosperity.

I submit for debate
 
Trump hakukosea Africa is a shit hole.

Kama hyo ni kweli.
 
Watakwambia Mbona hukushangaa na kina Bush au Mwinyi? Hapo ujue wako standby si muda mrefu wakaanza kujibu mapigo.
 
As ugandans we say.. when we meet Museveni we knew that he is a fool but we didn't know he is stupid too .
 
Do you know kotapini ,huwezi kuitoa mpaka utumie nyundo kuigonga ndipo itang’oka.huu ni msemo wako M7
 
Kuna msemo unasema,kama mzazi wako alikuwa mlinzi wa geti, kuna uwezekano pia na wewe ukaja kuwa mlinzi
Hii siyo kweli na sijaona ikiaply kwa wengi bali wachache sana, yaani kwenye watu 10 ni 1 au nothing.
 
Amekataliwa kustaafu na hakufata taratibu hivyo yawezekana alikua anabip Mana hata baba yake kamkatalia
Kuna sehemu nimetumia neno spinning for anticipation on the same, we call it or kujugumbula au kubwasya mileage strategy, bana ba Uganda bafuddee.
 
Do you know kotapini ,huwezi kuitoa mpaka utumie nyundo kuigonga ndipo itang’oka.huu ni msemo wako M7
That was 1996 battle political missile, synchophants or the historicals or the liberators don't give anything for free use the same formula as theirs.
 
Back
Top Bottom