Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

ni haki yake kumtafuta babake, hata ningekuwa mimi nipo mbali na baba yangu na ni mzima ningemtafuta. ila inavyoonekana hajawahi kukataliwa na kakobe kwamba sio mtoto wake, na kama alizaliwa miaka 43 iliyopita ni dhahiri huyo ni mtoto wa ujajani wa kakobe akiwa mwanamziki wa nyimbo za duniani, kabla hajaacha manyimbo ya mtaani na kuokoka.
 
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni platform kubwa na inafika mbali.

@@@@

Naitwa Frank Zachary Kakobe, mimi ni mzaliwa wa Tuliani, Wilayani Mvomelu Mkoani Morogoro, nilisoma Elimu ya Msingi Mwenge Mwaka 1986 hadi 1993 baada ya hapo nikaenda Real High School ipo Thiker Nchini Kenya

Baada ya hapo nikasomea masuala ya kompyuta nikapata Diploma katika chuo cha Techno Brain, sijui sasa hivi kinaitwaje.

Nina umri wa miaka 43, nina Watoto watatu na baada ya kuhitimu masomo yangu nilifanya kazi kadhaa za kiufundi.

Nia yangu ya kujitokeza kuzungumza hapa ni baba yangu apate taarifa juu ya uwepo wangu, tangu nilipoachana naye miaka 17 hadi 20 iliyopita, nimejaribu mara kadhaa kumtafuta kwa njia nyingi kupata mawasiliano naye lakini imekuwa ngumu.

Nimewahi kukaa pale Kanisani zaidi ya wiki sijaonana naye, nilipowaona viongozi wa Kanisa lake wakaniambia niandike barua ndio nitafanikiwa kumuona, nikafanya hivyo kwa kuandika barua za zaidi ya 300 lakini sijafanikiwa.

Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.

Nimeshaenda nyumbani Mbezi Beach lakini sijafanikiwa kuonana naye, hata wiki mbili zilizopita nilienda nikakutana na mlinzi ambaye akaniambia niandike barua.

Nikawa najiuliza niandike barua tena? Akaniambia ndio utaratibu, nikajiuliza niandike barua kuingia nyumbani!
View attachment 2546433
Nakiri kuwa hali ya mazingira kama hayo ikanifanya niwe mlevi, mara kadhaa nikawa nalewa licha ya kuwa mimi sipendi pombe.

Kuna muda nilikuwa nalewa kisha naenda Kanisani kumtafuta baba yangu kutokana na mawazo, nilikuwa nalala hapohapo Kanisani lakini hakuna mafanikio.

Sijui kuna ukuta upi uliotokea kati yangu na baba hadi anifanyie yote hayo, nakumbuka mara ya mwisho kupata mrejesho ilikuwa wakati nahitaji vyeti vya Watoto, nilituma SMS zaidi ya 80, ndipo nikajibiwa kuwa nifike getini nikachukue hivyo vyeti.

Nilienda na nikasaini kisha baada ya hapo sijawahi kupata mrejesho wowote.

Nilikuwa kimya muda mrefu, lakini nimeamua kufunguka na kumtafuta, mimi sina madai yoyote kuhusu baba, kwamba ndani ya miaka yoye hiyo ambayo sijamuona nadai kitu fulani, Hapana.

Unajua yeye ndiye kanilea kuanzia nikiwa mdogo nina miaka mitatu.

Kuhusu ukaribu wa wadogo zangu na mimi haupo, sijui wanapokaa wala wao hawajui ninapokaa na wala sijawahi kukaribishwa wala kushirikishwa kama familia licha ya kuwa mimi ndio nilikuwa ninawalea kwa kuwa walinikuta kaka yao.

Naamini barua ambazo nimekuwa nikituma inawezekana zinamfikia au hazimfikii, hivyo nimeamua kutumia nafasi hii kuweka wazi ili kama kuna ukuta upo kati yetu uweze kubomoka.

Matatizo katika familia yapo na ni kawaida kutokea, sijajua tatizo lililopo kati yangu mimi na yeye (Kakobe), kiasi kwamba kumekuwa na ukuta huo mkubwa.

Mfano mimi sinywi pombe kwa starehe, lakini imetokana na mawazo na kuathirika kisaikolojia, pia kwa kuwa nimeathirika kimaendeleo basi hata familia yangu pia imeathirika kwa njia moja au nyingine.

Baba yangu ni mtumishi na ninajua ana upendo sana, naamini haya mambo anaweza kuyatatua watu wakasameheana kama kulikuwa na shida.

Pia nina dada yangu anaitwa Mage ambaye naye hajaonana na baba kwa muda mrefu inawezekana zaidi hata ya ilivyo kwangu.

Chanzo: OnTV
Umri miaka 43 bado unaandika haya je ulipokuwa na miaka 10 angefariki huyo baba yako au angekuwa fukara au kiwete ungefanya haya unayodai leo. Hauko serious kbs
 
Mwaka 2001 mimi na wenzangu tulienda Turian kwa shughuli furani , tulienda katika kijiji kimoja ambapo kuna mradi u;likuwa unaitwa SURUDE - hapo tulimkuta mama mmoja masikini wa kutupwa lakini alikuwa na watoto watatu. Tulipomhoji kuhusu alipo mzazi mwenzie akasema amezaa na wanaume watatu na kuwa mtoto wa kwanza wa kiume alizaa na kakobe. tulimuuliza alipo huyu mtoto ajkasema hajui kwa kuwa Kakobe ndiye anajua mahali alipo
 
Kazaliwa 1980 - Miaka 43 Sasa
Amepotezana na Mzee wake miaka 20 iliyopita, ambavyo itakuwa ni mwaka 2000. Kakobe yuko mjini mda sana, ilikuwaje?
 
Athari za kutokuhusisha akili na mawazo ndo huzalisha posts hizi zisizo na uadamu.

BInadamu ambaye hana wazazi na haoni umuhimu wa wazazi ndiye anayeweza kumlaani mwanadamu mwenzake anayetafuta ukaribu na mzazi wake.

Unahubirije upendo wakati kuna chuki umeijenga kwa mwanafamilia wako?

Kwa taarifa yako, nimemfikia huyo mtoto kwa simu amenieleza mengi ya msingi na kwa hakika suala hili linahitaji hekima kubwa na litaenda kumsaidia hata Askofu mwenyewe.

Mungu ataweka wazi yote na shetani ataaibishwa
Mkuu Safi sana Kuna wtu hawajawahi kulelewa na bba wala mama hawajui hta athari au uzuri wa baba au mama Mungu awasamehe tu
 
Umri miaka 43 bado unaandika haya je ulipokuwa na miaka 10 angefariki huyo baba yako au angekuwa fukara au kiwete ungefanya haya unayodai leo. Hauko serious kbs
Mimi baba zangu ni fukara ola niliwatafuta na kuungaba nao na ndugu wengine.
Haijalishi mali bali DNA power.
 
hakuna sababu yoyote mtu anaweza kuitoa kuhalalisha kuondoa mahusiano na mwanae
Kakobe arejee kisa cha mwana mpotevu
Yaani mtu ana mabilioni ya hela anatelekeza familia yake
Aisee Ningemvamia hata kwa pistol
 
Mkuu Safi sana Kuna wtu hawajawahi kulelewa na bba wala mama hawajui hta athari au uzuri wa baba au mama Mungu awasamehe tu
Kijana wa watu amekuwa ignored tangu mdogo kwa sababu baba alimpata kabla hajaingia kwenye ndoa.

Mke wake alianza kumnyanyapaa na kumtenga hatimaye kumfukuza.
 
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni platform kubwa na inafika mbali.

@@@@

Naitwa Frank Zachary Kakobe, mimi ni mzaliwa wa Tuliani, Wilayani Mvomelu Mkoani Morogoro, nilisoma Elimu ya Msingi Mwenge Mwaka 1986 hadi 1993 baada ya hapo nikaenda Real High School ipo Thiker Nchini Kenya

Baada ya hapo nikasomea masuala ya kompyuta nikapata Diploma katika chuo cha Techno Brain, sijui sasa hivi kinaitwaje.

Nina umri wa miaka 43, nina Watoto watatu na baada ya kuhitimu masomo yangu nilifanya kazi kadhaa za kiufundi.

Nia yangu ya kujitokeza kuzungumza hapa ni baba yangu apate taarifa juu ya uwepo wangu, tangu nilipoachana naye miaka 17 hadi 20 iliyopita, nimejaribu mara kadhaa kumtafuta kwa njia nyingi kupata mawasiliano naye lakini imekuwa ngumu.

Nimewahi kukaa pale Kanisani zaidi ya wiki sijaonana naye, nilipowaona viongozi wa Kanisa lake wakaniambia niandike barua ndio nitafanikiwa kumuona, nikafanya hivyo kwa kuandika barua za zaidi ya 300 lakini sijafanikiwa.

Nimetuma SMS za simu nyingi tu lakini hakuna mafanikio, ninachokumbuka nimewahi kukutana naye mara kadhaa akiwa anaingia kwenye gari nikawa naishia kumsalimia “Shikamoo Baba”, basi baada ya hapo inaishi hivyohivyo.

Nimeshaenda nyumbani Mbezi Beach lakini sijafanikiwa kuonana naye, hata wiki mbili zilizopita nilienda nikakutana na mlinzi ambaye akaniambia niandike barua.

Nikawa najiuliza niandike barua tena? Akaniambia ndio utaratibu, nikajiuliza niandike barua kuingia nyumbani!
View attachment 2546433
Nakiri kuwa hali ya mazingira kama hayo ikanifanya niwe mlevi, mara kadhaa nikawa nalewa licha ya kuwa mimi sipendi pombe.

Kuna muda nilikuwa nalewa kisha naenda Kanisani kumtafuta baba yangu kutokana na mawazo, nilikuwa nalala hapohapo Kanisani lakini hakuna mafanikio.

Sijui kuna ukuta upi uliotokea kati yangu na baba hadi anifanyie yote hayo, nakumbuka mara ya mwisho kupata mrejesho ilikuwa wakati nahitaji vyeti vya Watoto, nilituma SMS zaidi ya 80, ndipo nikajibiwa kuwa nifike getini nikachukue hivyo vyeti.

Nilienda na nikasaini kisha baada ya hapo sijawahi kupata mrejesho wowote.

Nilikuwa kimya muda mrefu, lakini nimeamua kufunguka na kumtafuta, mimi sina madai yoyote kuhusu baba, kwamba ndani ya miaka yoye hiyo ambayo sijamuona nadai kitu fulani, Hapana.

Unajua yeye ndiye kanilea kuanzia nikiwa mdogo nina miaka mitatu.

Kuhusu ukaribu wa wadogo zangu na mimi haupo, sijui wanapokaa wala wao hawajui ninapokaa na wala sijawahi kukaribishwa wala kushirikishwa kama familia licha ya kuwa mimi ndio nilikuwa ninawalea kwa kuwa walinikuta kaka yao.

Naamini barua ambazo nimekuwa nikituma inawezekana zinamfikia au hazimfikii, hivyo nimeamua kutumia nafasi hii kuweka wazi ili kama kuna ukuta upo kati yetu uweze kubomoka.

Matatizo katika familia yapo na ni kawaida kutokea, sijajua tatizo lililopo kati yangu mimi na yeye (Kakobe), kiasi kwamba kumekuwa na ukuta huo mkubwa.

Mfano mimi sinywi pombe kwa starehe, lakini imetokana na mawazo na kuathirika kisaikolojia, pia kwa kuwa nimeathirika kimaendeleo basi hata familia yangu pia imeathirika kwa njia moja au nyingine.

Baba yangu ni mtumishi na ninajua ana upendo sana, naamini haya mambo anaweza kuyatatua watu wakasameheana kama kulikuwa na shida.

Pia nina dada yangu anaitwa Mage ambaye naye hajaonana na baba kwa muda mrefu inawezekana zaidi hata ya ilivyo kwangu.

Chanzo: OnTV
So Bishop alizimua in advance au ilikuwaje akattengwa na family
 
Miaka 43 unamlilia mzazi hapa Kuna jambo aliko sawa Kuna namna alikwenda kinyume Mzee akamfutilia mbali .jambo la muhimu atafute maokoto Mzee ataki shobo watoto wengi wa wachungaji wamefanya mambo ya ajabu sana nakumbuka Kuna pastor alikuwa UK miaka ya 2010 mabinti zake wakaanza kumtia aibu wanaenda club , wanaotumia drugs aliwapandisha ndege kuja Tanzania Moja Kwa Moja hadi kigoma Kwa bibi Yao walikula msoto adi wakanyooka kama rula adi wakaomba poo now ukiwaona walivyojiludi wamekuwa wamama wenye familia zao .
 
Back
Top Bottom