Oxygen gas
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 247
- 235
Weekend naianza vibaya,
Baada ya kazi zangu zahapa na pale ikabidi niende kumsalimia Mama mzazi. Nilipofika tumbo likachafuka ikabidi niingie msalani(chooni), ile nafunga mlango wa choo nikasikia hodi, kuchungulia hivi moyo ukapiga paa, ilikuwa ni warembo watatu wakali sana wamekuja kwa rafiki yao (mdogo wangu).
Walikataa kuingia ndani na kukaa kwenye mkeka wapige story, mbaya zaidi wapo karbu na mlango wa toilet. Kijana nimebanwa ile mbaya, nikataka kuailisha kazi ila nikahisi tajichafua bure. Nikaanza kushusha mzigo, mambo yalikuwa mabaya kwani ile sauti ya pyaatalala pyatalala!!!!! Ilisikika nikasikia wanacheka apo nje, ikanibidi nighaili. Muda wakutoka nilitoka kakisi bila hata salamu hadi ndani.
Alafu kati yao mmoja nipo kwenye mawindo nataka nimlenge na shabaha ya manati ili asicholopoke kunako mikono yangu.
Nimeshindwa hata kutoka nje maana hawa viumbe wapo tu nahisi kila mtu anawazia ile sauti ya toilet.
Kingine huyu manzi sijui atanielewa siku nampa voko au atakuwa ananitasimini hii issue.
Nb, Povu luksa maana nguo chafu nataka kufua