Mtoto wako ana tatizo la kutokupenda kula?

Mtoto wako ana tatizo la kutokupenda kula?

Next time uzi wa dizaini hii peleka jukwaa la matangazo na sio JF Doctor.
 
Sasa kama hapendi kula hayo maziwa yatamsaidia nini? I think heading yako na Content ya habari haviendani.
 
Simaanishi kuharibu biashara ya mleta mada ila tu nahisi si vibaya kushauriana na wazazi wenzangu.Mimi mwanangu amekuwa na kawaida ya kutopenda kula, nilipewa ushauri wa kutumia multivitamins for kids...hii ni product ya forever, it has worked for sure.Si lazima ifanye kazi kwa mwanao ila kwa matokeo niliyoyaona si mbaya ukaijaribu.Bei yake nilichukua kwa 20k. Greetings to the baby
 
Back
Top Bottom