Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.
β
Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.
π TUNAFUNDISHA:
πΉ Watoto wa Nursery na Kindergarten
πΉ Primary School
πΉ Secondary School
πΉ Wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada katika masomo
πΉ Watoto wenye mahitaji maalumu
πΉ English Language
πΉ Kiswahili na masomo mengine
πΉ Computer, Music, Swimming na Sign Language
β FAIDA ZA HOME TUITION:
β
Mtoto anafundishwa kulingana na uwezo wake.
β
Anapata uangalizi wa karibu kutoka kwa mwalimu.
β
Anasaidiwa kuboresha maeneo yenye changamoto.
β
Anajiandaa mapema kwa muhula unaofuata.
β
Mzazi anaweza kuchagua muda unaofaa kwa mtoto.
π HUDUMA ZETU ZINAPATIKANA KWA MAENEO MBALIMBALI TANZANIA.
π¨βπ« Tunakuunganisha na walimu wenye uwezo kulingana na mahitaji ya mtoto wako.
π² Wasiliana nasi kupitia WhatsApp:
0743 567 159
ELITE HOME TUITION
π Elimu bora huanza na maandalizi bora!
USISUBIRI SHULE ZIFUNGULIWE NDIPO UANZE MAANDALIZI. TUMIA LIKIZO HII KWA FAIDA YA MTOTO WAKO!