Mtoto wangapi kuzaliwa

BADAF

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
99
Reaction score
44
Habari za leo.
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo. Naomba mnisaidie sentensi katika kingereza nikitaka kuuliza yafuatayo
  1. Nataka kumuuliza baba yangu kuwa mimi ni wangapi kuzaliwa nitauliza je kwa kingereza?
  2. Nataka kumpa pole mtu aliyetoka safarini. Nitauliza je kwa kingereza? kwa kiswahili tunaseam pole na safari. Kingereza je?
  3. Ninashukuru kwa msaada wenu
 
lugha ni sehemu ya utamaduni wa jamii fulani! Kingereza ni sehemu ya utamaduni wa Waingereza.

Siyo utamaduni wao kupeana pole kwa safari kwasababu safari zao siyo kama safari za hapa kwetu tz, njia zao za usafiri ni salama na hazichoshi! aliyesafiri na garimoshi kutoka dar hadi kigoma anastahili pole ndiyo maana kiswahili kina hilo neno "pole kwa safari" katika kingereza hakuna!

kuuliza wewe ni wangapi, pia siyo utamaduni wao waingereza kuzaa zaa hovyo hadi watoto wasijue wao ni wangapi katika familia, kwahiyo watoto wenyewe wanajijua. waswahili balaaaa! labda wao wanaweza kuulizwa na mtu mwingine kwamba mpo wangapi katika familia yenu kutoka katika jibu la swali hilo mtu anaweza kuulizwa.. and you are..? 1st born ..... nakuendelea.
 

Ndugu nakushukuru saaana maana nilidhani mimi huenda kingereza changu ni kidogo saaana
 

Sasa mkuu pamoja na hivyo, je tunaweza kuyauliza vipi hayo maswali? Sawa Waingereza hawana hayo maswali, lakini sasa imetokea unataka kuuliza kwa huku huku kwetu, hata kama ni tafsri ya kiswahili tusaidiane hapa.
 
Sasa mkuu pamoja na hivyo, je tunaweza kuyauliza vipi hayo maswali? Sawa Waingereza hawana hayo maswali, lakini sasa imetokea unataka kuuliza kwa huku huku kwetu, hata kama ni tafsri ya kiswahili tusaidiane hapa.


Sasa hauwezi kula ugali kwa kutumia vile vijiti wanavyotumiaga wachina kula vyakula vyao mkuu! lazima utatumia mikono kama kawaida yetu! "Hivi baba, kati ya watoto wako mie ni wangapi"? na lazima mzee akununie!
 
Sasa hauwezi kula ugali kwa kutumia vile vijiti wanavyotumiaga wachina kula vyakula vyao mkuu! lazima utatumia mikoni kama kawaida yetu! "Hivi baba, kati ya watoto wako mie ni wangapi"? na lazima mzee akununie!

Ha ha ha, haya mkuu, nimekusoma. Ndio maana utakuta habari yote imeandikwa full kizungu, ila neno la ugali linaandikwa kiswahili.
 

Whats my family order?
 
Naona wengi wame skip apa
Lugha ngumu ngoja tuwasubiri
 

inaeza kuwa hivyoeeee!!!! kuna uhalisia ndani yake
 

1. Dad, can you tell me in which position from your firstborn to lastborn i' am?

2. Wooow!! Your welcome!! Mmmmwah.,.by the way how was the journey!?

3.thank you all for your help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…