Habari za leo.
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo. Naomba mnisaidie sentensi katika kingereza nikitaka kuuliza yafuatayo
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo. Naomba mnisaidie sentensi katika kingereza nikitaka kuuliza yafuatayo
- Nataka kumuuliza baba yangu kuwa mimi ni wangapi kuzaliwa nitauliza je kwa kingereza?
- Nataka kumpa pole mtu aliyetoka safarini. Nitauliza je kwa kingereza? kwa kiswahili tunaseam pole na safari. Kingereza je?
- Ninashukuru kwa msaada wenu