Mtoto wangu 2yrs kameza pilipili mbuzi nzimanzima

Mtoto wangu 2yrs kameza pilipili mbuzi nzimanzima

Marashi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
2,877
Reaction score
4,522
Nahitaji ushauri wa kitabibu, mwanangu mdogo takribani miaka 2 amemeza pilipili mbuzi nzima nzima. Hali yake sasa ni nzuri tu japo wazazi tunamashaka ikipasukia tumboni hali itakuaje na mtoto wetu atapata madhara gan. Mama yake analia tu tangu sa3 usk. Tumejaribu kumtapisha bila mafanikio. Je, kuna njia yyote ya kuitoa au ili asipate madhara tufanye nn?
 
Hakuna tatizo lolote ndugu... watoto wanamezanga hadi wembe lakini bado wanatoboa. Pilipili sio sumu ni sawa na nyanya hivyo hapo mpe msosi ale ashibe kisha peleka chooni
Cha kufanya mjenge mama yake kiakili maana ni viumbe dhaifu
 
Back
Top Bottom