Mtoto wangu amepoteza fomu ya usajili kidato cha nne private je hatua ni zipi?

Mtoto wangu amepoteza fomu ya usajili kidato cha nne private je hatua ni zipi?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu,

Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana.

Je tumsaidieje?
 
Nishaipata. Si anajisajili kwa ajili ya kufanya NECTA exams private candidate?

Nadhani akienda alipoichukua wanawezasaidia pa kuanzia. Au atafute namba ya NECTA HQ.

IMG_20210307_180136.jpg
 
Hapo ndio shida kupokea simu na kujibu email ila ni bora ujaribu.

Pia wacheki social networks (IG na FB).

Alienda jisajiria wapi?
Hapa Dodoma kuna kituo kinaitwa dinstiction education center
 
Back
Top Bottom