Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nashkuru sana mkuu kwa email wanapatikana?Nishaipata. Si anajisajili kwa ajili ya kufanya NECTA exams private candidate?
Nadhani akienda alipoichukua wanawezasaidia pa kuanzia. Au atafute namba ya NECTA HQ.
View attachment 1719459
Sawa nashkuru mkuu ataendaArudi alikosajilia watamsaidia.
Mwanao aache upuuziaji wa mambo. Mtoto kidato cha nne hawez kufanya utoto huo.
Hapo ndio shida kupokea simu na kujibu email ila ni bora ujaribu.Nashkuru sana mkuu kwa email wanapatikana?
Hapa Dodoma kuna kituo kinaitwa dinstiction education centerHapo ndio shida kupokea simu na kujibu email ila ni bora ujaribu.
Pia wacheki social networks (IG na FB).
Alienda jisajiria wapi?