Mtoto wangu ana baba wawili

Mtoto wangu ana baba wawili

KING ASSENGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
928
Reaction score
1,478
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.

mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake nilikutana kimwili na mwanamke ambaye tulikuwa na mahusiano kitambo . Baada ya kumaliza yaliyonileta dar nilirudi kwenye harakati za mikoani . Baada kama ya mwezi yule mwanamke aliniambia ameshika ujauzito mimi nilifurahi ila nikawa na wasiwasi huenda mimba sio yangu.

Nikamjulisha hilo akadai kuwa ni uhakika mimba ni yangu . Nikamjulisha basi kama mimba ni yangu lazima ajifungue tarehe 10 mwezi wa saba mwaka jana.

Na kweli alijifungua tarehe hiyo hiyo nilikuwa nisharudi dar na nilimhudumia vizuri tu japo sio kwa ukubwa ambao ningemhudumia kama nisingekuwa na mashaka.

Naomba niwajulishe zaidi kuhusu huyu mwanamke. Alikuwa na mtoto mmoja alizaa na jamaa mmoja . wakati nipo kwenye mahusiano nae nikiwa dar alikuwa kwa wazazi sikuwa nimepata taarifa kuwa tayari alienda kuishi na jamaa.

Sasa mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nimepigiwa simu na namba ngeni nikapokea . Baada ya salamu jamaa akaniuliza unamfahamu Rose ( sio jina halisi)

Nikamjibu ndio namfahamu

Ninani kwako . Nikamjibu kwanini unaniuliza

Ndio akaniambia kuwa amekuwa akiona mawasiliano yangu na rose mda mrefu ila kuwa hajui kinachoendelea na muda mrefu anaishi na rose.

Nikaamua kumuuliza mtoto wa mwisho niwa kwako akadai ni wake aisee?

Moyo ulishtuka sana?

Ikabidi nimwambie ukweli kuwa ni mtoto wangu na nipo kwenye mahusiano na rose kitambo kumwaminisha zaidi ni cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambacho kina jina langu na jina nililompa mtoto mimi
Japokuwa baadae niligundua nyumbani kuwa wanamwita jina jingine

Basi jamaa tulitulizana kiume na akadai kwenda kupima DNA ila jioni yake nikampigia akiwa na rose nikamwambia ampe simu rose aweke loud speaker aseme mtoto ni wanani ila rose aligoma katu , tukapanga tutakutana tuongee na jamaa ila akapotea moja kwa moja na alinyamaza.

Mahusiano yao yaliyumba akamwacha mwanamke mwenyewe mpaka sasa anafika mara chache sana na hahudumii kama awali na mimi vivyo hivyo nimepunguza sana kuhudumia.

Japokuwa ananiaminisha sana na mtoto ana vingi anafanana na mimi zaidi ila mashaka yapo . Hata wazazi wake aliwaambia mtoto Mtoto ni wangu ila bado hata nao siwaamini sijui nifanyeje moyo wangu uwe huru

Ni mtoto kike mzuri sana.

Natamani sana hili likae vizuri.

Kama ni mtoto wangu nimpe matunzo asilimia mia na nimweke moyoni nifurahie.

Kama sio mwanangu basi ni move on.

Hili linaniumiza sana maana sina ujasiri wa kukemea malezi anayolelewa mwanangu na ningependa kuandaa future yake nimfungulie account mapema nianze kumwekea vishilingi lakini ndio hivyo nipo katikati

Mnanishauri nifanyeje wakuu?
 
MTOTO WANGU ANA BABA WAWILI .
Duuh, aisee!
Japokuwa ananiaminisha sana na mtoto ana vingi anafanana na mimi zaidi
Kama hili ni kweli (jaribu kuhakiki) basi mtoto atakuwa ni wako.

Kuhusu kupima DNA, kwa kuwa mama hana uwezo wa kipato cha kutunza mtoto utapewa matokeo ya mchongo, yaani utaambiwa mtoto ni wa kwako hata kama siyo kwa maslahi (a.k.a usalama) ya huyo mtoto
 
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.

mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake nilikutana kimwili na mwanamke ambaye tulikuwa na mahusiano kitambo . Baada ya kumaliza yaliyonileta dar nilirudi kwenye harakati za mikoani . Baada kama ya mwezi yule mwanamke aliniambia ameshika ujauzito mimi nilifurahi ila nikawa na wasiwasi huenda mimba sio yangu .
Nikamjulisha hilo akadai kuwa ni uhakika mimba ni yangu . Nikamjulisha basi kama mimba ni yangu lazima ajifungue tarehe 10 mwezi wa saba mwaka jana.
Na kweli alijifungua tarehe hiyo hiyo nilikuwa nisharudi dar na nilimhudumia vizuri tu japo sio kwa ukubwa ambao ningemhudumia kama nisingekuwa na mashaka.

Naomba niwajulishe zaidi kuhusu huyu mwanamke. Alikuwa na mtoto mmoja alizaa na jamaa mmoja . wakati nipo kwenye mahusiano nae nikiwa dar alikuwa kwa wazazi sikuwa nimepata taarifa kuwa tayari alienda kuishi na jamaa.

Sasa mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nimepigiwa simu na namba ngeni nikapokea . Baada ya salamu jamaa akaniuliza unamfahamu Rose ( sio jina halisi)
Nikamjibu ndio namfahamu
Ninani kwako . Nikamjibu kwanini unaniuliza
Ndio akaniambia kuwa amekuwa akiona mawasiliano yangu na rose mda mrefu ila kuwa hajui kinachoendelea na muda mrefu anaishi na rose

Nikaamua kumuuliza mtoto wa mwisho niwa kwako akadai ni wake aisee?
Moyo ulishtuka sana ?
Ikabidi nimwambie ukweli kuwa ni mtoto wangu na nipo kwenye mahusiano na rose kitambo kumwaminisha zaidi ni cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambacho kina jina langu na jina nililompa mtoto mimi
Japokuwa baadae niligundua nyumbani kuwa wanamwita jina jingine

Basi jamaa tulitulizana kiume na akadai kwenda kupima DNA ila jioni yake nikampigia akiwa na rose nikamwambia ampe simu rose aweke loud speaker aseme mtoto ni wanani ila rose aligoma katu , tukapanga tutakutana tuongee na jamaa
Ila akapotea moja kwa moja na alinyamaza.
Mahusiano yao yaliyumba akamwacha mwanamke mwenyewe mpaka sasa anafika mara chache sana na hahudumii kama awali na mimi vivyo hivyo nimepunguza sana kuhudumia.

Japokuwa ananiaminisha sana na mtoto ana vingi anafanana na mimi zaidi ila mashaka yapo . Hata wazazi wake aliwaambia mtoto Mtoto ni wangu ila bado hata nao siwaamini sijui nifanyeje moyo wangu uwe huru

Ni mtoto kike mzuri sana
Natamani sana hili likae vizuri
Kama ni mtoto wangu nimpe matunzo asilimia mia na nimweke moyoni nifurahie
Kama sio mwanangu basi ni move on.

Hili linaniumiza sana maana sina ujasiri wa kukemea malezi anayolelewa mwanangu na ningependa kuandaa future yake nimfungulie account mapema nianze kumwekea vishilingi lakini ndio hivyo nipo katikati

Mnanishauri nifanyeje wakuu??
Are you serious or just kidding???
 
Nenda kapime DNA Na mtoto
 
Back
Top Bottom